Maishani sina imani na taaluma za waandishi wa habari na wasanii. Ila hivi karibuni mawakili pia nimewaingiza kwenye kundi hili. Tusishangae yatakayotokea leo. Nadhani sijaota. .
...
Maishani sina imani na taaluma za waandishi wa habari na wasanii. Ila hivi karibuni mawakili pia nimewaingiza kwenye kundi hili. Tusishangae yatakayotokea leo. Nadhani sijaota. .
...
TL hawezi na hataweza kamwe kwa kupitia hilo jukwaa.Akishinda Lissu nitafanya sherehe leo, maana tutakuwa na mtu sahihi wa kuudhibiti ule Muhimili mrefu
Pamoja sana! Atashinda kwa kishindo landsliding victoryAkishinda Lissu nitafanya sherehe leo, maana tutakuwa na mtu sahihi wa kuudhibiti ule Muhimili mrefu
Tatizo huwa linaanza wanapoanza kuchanganya na siasa.