MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,237
Habari zenu wadau,
Mimi binafsi naikubali kwamba mimi ni Mshamba, Naombeni mnisaidie namna ya kufanya Booking ya Ndege.
KIA (kilimanjaro Int Airport) to Johannesburg (SA)
Kila nikajaribu kufungua Website za denge haziniletei ninacho kihitaji
Lakini pia naombeni anae elewa Cheap flights company anijulishe
Nb:Naomba unapo nisaidia/changia matumizi ya Lugha ya kiugwana itumike. Asanteni