nauliza tu wadau, hivi yule aliyetobolewa macho na Scorpion, kesi yake iliishia wapi? na vipi bwana bashite bado anampa msaada kupitia ile kampuni yake ya GSM?
Raisi wetu anapenda tuendeleee na kuwa na Taifa imara kiuchumi na lenye uongozi wenye nidhamu; tatizo kubwa ninaloliona ni ukosefu wa weredi wa kushauriana na kuyafuma mawazo ya majadiliano ili...
Tujadiri kwa pamoja leo hii concept ya Face threatening act. Nimekosa tafsiri sahihi lakini katika taaluma ya isimu, wanaisim wanatafsiri face threatening act kama tamko linalodidimiza/ondoa...
Ukiondoa nchi ambazo Wazungu walitawala na wakaamua kubakia kama Kanada, USA, AK, Australia n.k. ukiondoa Singapore hakuna nchi nyingine yoyote ile iliyotawaliwa na Mzungu ambayo imeendelea, sasa...
Ikiwa ni siku chache tu mkulu wa nchi ametoka kuwasifia shirawadu leo tumeona video inayosambaa inayomuhusu askofu gwajima ambayo ni hao hao shilawadu ndio wanahusika kwa kumuhoji huyo mama ambae...
Habari Wanabodi,
Leo Hii tumemkamata tapeli anayewaibia wa mawakala wa M-Pesa,Baada ya kufanya uhalifu sehemu mbali mbali jijini dar,makachelo wetu waliingia mzigoni na kuanza kutrack.
Huyu Mama...
Mwili wa marehemu aliyekuwa mwanafunzi wa sekondari ya Itete wilayani Kilosa mkoa Morogoro Magreth Magwira umefukuliwa baada ya kukumbwa na utata wa kuwa binti huyo ameuawa.
Kifo hicho...
Kuna yule mwenzetu anaitwa Shibe Kijijini alisema anakwenda South.. Sijui alifika au hajafika maana kimya sana..
Nilikuwa navutiwa sana na simulizi yake. Kama hupo njoo bana uendelee kutupa...
Serikali imefanya maamuzi ya kupeleka madaktari zaidi 500 waliomaliza masomo na internship lwakaajiliwe kenya kwa kuwa serikali haina uwezo kuajili kwa sasa na si kwa sababu hatuna maitaji...
Viongozi wa madakatari nchini Kenya,wamepinga mpango wa serikali hiyo kuajiri watanzania 5000 ili kusaidia kutoa Huduma za afya nchini humo na badala yake wameitaka serikali ya Kenya kuajiri...
Habari wakuu, shindano hili nimekuwa nikilifuatilia tangu mwaka jana ambapo mshindi huibuka na zawadi ya Gari.
Ni rahisi sana kushiriki lakini ili ushinde kuna jitihada kubwa sana inahitajika...
1: Nunua Kiwanja Kilichopimwa au Hakijapimwa
Unapotaka kujenga nyumba katika eneo la mjini au eneo lililotangazwa kuwa eneo la mipango miji jambo la kwanza unatakiwa kununua kiwanja kilichopimwa...
1967. Hadi. 2017 ni miaka 50
Kwa watetezi wa ideology ya Taifa letu, je ni sawa kukaa kimyaa bila kusema kitu juu ya mtoto huyu anayetimiza miaka 50 mwaka huu?
Yule askofu msanii naona wiki hii hana kiki kabisa.
Yuko kimya sana. Sasa sijui ni kwa sababu gani.
Au labda ni ile hulka yetu ya kudandia dandia vitukio huku na kule na kusahau ndani ya muda...
TLS tayari. Hao ni mawakili. Lakini Tanzania imebarikiwa kila aina ya taaluma.
Sasa nadhani ni muda muafaka kabisa taaluma zingine zianze kufuata nyayo za TLS. Kuna wahasibu/wakaguzi, kuna...
Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
Soma...
Hbr ba ndugu,naomba kujuzwa neno "package" kwa askari lina maana gani?Nauliza kwasababu kunasehemu nilikua nikakuta màbishano makali ya askari police vs magereza,police akimwambia magereza nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.