Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Jana nimeenda kupitia sheria ya ndoa sijaona mahali pameandikwa panahitajika cheti cha kuzaliwa kama kigezo cha kufunga ndoa
Mimi ninachokijua kigezo cha kufunga ndoa ni upendo tuu.
Hayo matamko ya Waziri wa katiba na Sheria Mwakyembe kusema kuanzia tarehe 01.05.2017 hakuna kufunga ndoa bila kuwa na cheti cha kuzaliwa sijui anayatolea wapi? Nchi inaongozwa kwa matamko uchwara.