Kigamboni Ferry

akohi

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
788
526
Kwanza nitoe pongezi kwa ujenzi wa banda la kukatia ticket kule upande wa Magogoni maana kimsingi ilikuwa changamoto sana na ili ukate ticket lazima awepo mtu wa kukusaidia kupokea hela na kumpa cashier then ndo Cashier akate ticket ampe askari ili askari akupe hiyo ticket.

Nashauri banda au chumba paa lake liwe na canopy au lizidi banda ili isaidie wakati wa mvua mtu anayekatiwa ticket asilowane kama ilivyo pale daraja la Nyerere.

Niwazo binafsi kwa wanaohusika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom