Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumeombwa tumehimizwa tumeshawishiwa na hata kutakiwa na serikali yetu tusaidie kufichua uovu popote pale na tutalindwa. Pengine na inawezekana kabisa serikali yetu Kupitia jeshi la police ama...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana maamuzi ya huyu dogo! Happi anaifungia Corner Bar halafu anaziacha Bar za karibu?Unakuwa umetataua tatizo gani sasa? Maana ukanda ule kuanzia Shekilango mpaka Bamaga wamejaa...
13 Reactions
20 Replies
7K Views
Toyota Land Cruiser - 2011 Pictures & Photo Gallery 2011 Toyota Land Cruiser SUV Models and Prices Mimi nashindwa kuelewa, ukiangalia katika website ya Toyota, bei ya Land Cruiser VX G8 ni US$...
3 Reactions
37 Replies
20K Views
Sina haja ya kuficha. Kwanza, nimefanikiwa kuhuisha (ku-renew) Cheti changu cha Uwakili baada ya kukisitisha kwa miaka kadhaa. Kilichonivutia hadi kuhuisha cheti changu kwa mwaka huu 2017 ni...
58 Reactions
125 Replies
19K Views
TUCTA mlisikika mkisema mnaipa serkali siku 14 waturudishie pesa zetu walizokata kwenye mshahara wa mwezi wa pili. Mwezi wa tatu waelekea ukingoni na hakuna majibu yoyote wala mrejesho wowote...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanabodi Salaam Huwa najiuliza huu ukamuliwaji kwa wamiliki wa magari umetokana na nini? Ushuru bandari juu, motor vehicle kila mwaka juu, mafuta juu maana kila mradi unaokwama kupata fedha...
24 Reactions
163 Replies
17K Views
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi. Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa: MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL Jamani hawa watu...
9 Reactions
118 Replies
12K Views
Mimi huwa mpenzi na mfuatiliaji wa kipindi hiki kwa karibu sana. Kipindi cha leo nikiwa na Wenzangu wapatao 12 tulishanga sana mwandaaji wa kipindi hiki Mwasalanga, hatukuelewa ama alifanya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niliposikia Tigo wanapiga kelele sijui halichachi sijui Joti kahairisha kuoa anapiga cm kuwai deadline ya time mi nilizani ya kuwa sasa ukinunua bundles za tigo hazina time limitations tena kumbe...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi, Salaam Kwenu, Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi, kejeli na dharau za kila siku dhidi yake...
14 Reactions
158 Replies
10K Views
Habari wanajf! Sitaki kuongea sana ila nitaomba niwalete kwenu hawa watu kisha wajuzi Wa mambo na wanaomfahamu/kuwafahamu hawa watu wanaoonekana hapa chini wakiwa na mkuu wa mkoa hasa njemba...
4 Reactions
143 Replies
24K Views
Unapo Fanya uchambuzi wa mfumo gani utumike (Identification Code) lazima uhakikishe vitu hivi unavizingati. 1. Mfumo wako unataka uwe na muda gani bila namba kujirudia. 2. Mfumo wako lazima...
1 Reactions
154 Replies
65K Views
Naomba ufafanuzi wa gharama za kujiunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro, nina maswali kwa wanaJF. 1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia...
0 Reactions
58 Replies
14K Views
Kinaitwa Institution of Engineers Tanzania na kingine huwa ninasikia Bodi ya Uhandisi. Je, tunaweza kupata data jinsi wanavyokabiliana kama wenzao wanasheria na madaktari? Nakumbusha hivi kwa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau habari za mchana Huu wizi wa kuiba katika magari kwa kulainisha kioo kisha wanakipiga tu kilaini wanaiba kilichomo garini kisha baadae wanakupigia simu na kukuambia uwatumie hela kisha...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wana Jf Hii taasisi ya Jakaya Kikwete Foundation imekumbatia mambo mengi sana ambayo hata wataalam wa kuendesha mashirika wataweza kuwa na maswali mengi, mfano shirika kama sio donor au funding...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wazazi wenye watoto wa kike kazi ipo, dunia yaenda kasi mno, tutaweza ku "catch-up"?! Au yanarudi yale ya kale, watoto wa kike kuzaa mapema? Karibuni
0 Reactions
0 Replies
883 Views
6 MARCH 2017 Acacia Mining seeks clarity on Tanzania’s gold-copper concentrate export ban Tanzania’s largest gold producer, Acacia Mining, is seeking clarification on the country's Ministry of...
0 Reactions
1 Replies
575 Views
wakuu habari za jioni. mimi nikiwa kama mmoja wa watu wanaopenda mabadiliko nimeshindwa kuvumilia kuwa mbali na sehemu unakofanyika uchaguzi wa kihistoria kwenye tasnia ya sheria Tanzania. hivyo...
16 Reactions
67 Replies
9K Views
Back
Top Bottom