Mzigo wa shilingi 60,000 kulipiwa kodi ya shilingi 123,857 imekaaje?

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,393
1,433
Nina mengi sana yakuongea ila sina hamu kwa sasa labda badae nitakuja kuongea zaidi.

"Shkamoo Tanzania, kama mzigo wa 60,000/= mtu atalipia 123,857 kuupata narudia tena Shkamoo".

SASA NIMEJUA SABABU HALISI YA WATU KUKWEPA KODI
 
Yaan hiyo cha mtoto kwa wanaonunua magari wengine upigwa kodi zaidi ya mara 3 ya bei wanaoinunulia huko nje.. Nnakupenda sana nchi yangu Tanzania
 
Utendaji wa mamalaka ya kodi unashabihiana kwa 99.99% na trafiki, ndio maana Watanzania tunatumia slogan ya "bora mkono uende kinywani" utadhani sisi ni wanyama wa Serengeti! Pole sana ndugu.
 
Back
Top Bottom