MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,237
Barua ya wazi kwa wizara inayo shughulika na office za uhamiaji
Kulingana na hali ya ajira kuwa ngum ktk nchi yetu pendwa ya jamhuri ya mungano wa Tanzania, ningeomba basi walifikilie jambo hili la upatikanaji wa Passport ili vijana wetu wenye uwezo wa kutoka na kwenda nchi nyingine hata za jirani waweze kwenda ili wajitafutie ajira huko.
Jamani kilio changu ni kuona gharama zinapunguzwa ili waweze kusitahimili,
Lakini pia Serikali itangaze hadharani gharama za chanjo ya homa ya manjano
. Mwisho natoa onyo, naona vijana wengi hum maneno yenu mengi /mipango yenu mingi ni kwenda njee ya Tanzania, huko mnako kwenda jaribuni kuwa wasitarabu,
Ukisha itwa kijana basi jitambueni,
Lakini pia mkitoka, msiwasahau, wazazi, wake zenu, marafiki zenu
Ukifanikiwa wakumbuke wenzako, waonyeshe njia uliyo pitia
Mwisho, naomba watu mnao hitaji kwenda njee ya nchi, mlete uzi rasmi, mjadiliane, mnakwenda wapi kwa ajili ya nini Nk.
Mungu atawabariki sana mkiwa na umoja, usiwe umoja wa kijinga uwe umoja wa kujenga taifa.
Mbarikiwe sana.