Katika daraja linalo jengwa Kisongo kuna ajali mbaya imetokea kati ya hard top ya ya kitalii na taxi. Nadhani kuna maafa yametokea mi nimepita mida hii ya 12.30 asb na bus. Walioko Kisongo tujulisheni hizo Gari mbili ziligongana au kila moja ilipata ajali kivyàke. Ajali izo ni mbaya sana aisee.