DC Happi,umalaya ndio "biashara kongwe" duniani,haitazuilika kwa kufunga bar moja tu

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Nimeshangaa sana maamuzi ya huyu dogo!

Happi anaifungia Corner Bar halafu anaziacha Bar za karibu?Unakuwa umetataua tatizo gani sasa?
Maana ukanda ule kuanzia Shekilango mpaka Bamaga wamejaa wauza mbunye tupu,usipompata kwenye bar basi utamkuta kasimama kizani kwenye njia akikuita,asiposimama njiani basi utamkuta kwenye Massage Parlour ambazo kwa Sinza zipo wazi masaa24.

Kwenye hizi massage centres kuna malaya wa kiwango cha lami,classic na warembo haswaa,achana na hao wa buku teni wa Ambiance na Corner Bar.Sasa kwa kufunga Bar kisa inafanya biziness zinazohusishwa na wateja wake kuja kuuza na kununua miili,basi afunge na massage centres ambazo hizo kwa sasa ni centres za Malaya wa under 18,na wazee ndio wanajazana kukunwa vitambi na "watoto wao".

Maana kama Corner Bar ina leseni ya kuuza vileo lkn kuna Malaya,basi na ile njia ya Meeda kutoka Sinza kwenda Sam Nujoma Road nayo ifungwe...maana usiku matumizi ya njia na baadhi ya nyumba yanabadilika.

Pale Mori njia ya kwenda Meeda Bar kuna Guest Malaya wanajianika nje nje tu na wanadaka wapita njia,ukienda mbele maeneo ya Meeda mpaka Lufungilo(?) ni "site" ya malaya,basi waifunge na hiyo njia kila ifikapo saa moja jioni.

Mlimani City wapo malaya wanaojiuza,napo watapafunga?Jolly Club pana malaya wa kutosha kuanzia ukuta wa Aghakhan mpaka kituo cha utamaduni cha Ufaransa na Kanisa la Orthdox.Siku hizi kuna mpaka "online malaya".Hawa unawapata fb,whatsApp,Insta na huko badoo ndio balaa.Sasa unaweza kufungia makampuni ya simu kwa kuruhusu wateja wao kutumia bando kuuza mbunye?

Biashara ya umalaya ilikuwepo hata kabla ya kuja Nabii Issa Bin Mariam(Yesu).Umalaya ni moja kati ya "kazi" kongwe hapa duniani,ukitoa ualimu,utabibu na sheria ambazo ni "noble profeshno" kongwe hapa duniani,basi umalaya ndio the first among the rest.

Kuna malaya maarufu sana kwenye biblia anaitwa Rahab,malaya pekee aliyekuwa anamiliki ghorofa kwa kuuza mbunye katika mji wa Yeriko.Aliwaokoa mashushushu wa Joshua,waliotumwa kuupeleleza mji wa Yeriko kabla ya kuvamiwa na Waisrael wakitokea Misri.Na hapa huwa kuna maswali ya kiteolojia,kwanini wale wapelelezi walienda moja kwa moja kulala kwenye nyumba ya Rahabu!??Jibu linaweza kuwa jepesi...Walihitaji "huduma" na walipofika ktk mji ule walipoulizia mahali wanapoweza kupata "huduma" wakaonyeshwa ghorofa ya Rahabu.

Ni kama vile Happi na vijana wengine enzi za Udsm,wakitokea Igunga,Nzega,Ipilimbi na Kalambo.Lazima watembelee Ambiance na Corner Bar "boom" likitoka.Hii biashara ipo miaka na miaka.Ndio maana Mungu aliamua kuiweka ktk amri zake kumi ili watu waiache,sio kuzuia.

Hata Yesu alikutana na "Operesheni tokomeza Malaya" wakati wa maisha yake.Watu waliokuwa wameamua kuondoa malaya mtaani kwa kuwapiga mawe ili biashara hiyo ife.Walimkamata malaya mmoja na kumpeleka kwa Yesu,wakiwa na mawe na marungu ili wapate kibari cha kumuua kwa mawe.

Walipomfikisha kwa Yesu,wakiwa na hamu ya kuanza kumrushia mawe,Yesu aliwauliza "Amekosa nini huyu mwanamke?"Makutano wakasema anafanya biashara ya umalaya".Ajabu ni kuwa walimkamata mwanamke peke yake bila mwanaume aliyekuwa anagegeda,na hapa ndio uonezi ulipo,kwanini umkamate mtoa "raha" halafu unamuacha "mpata raha!?".

Yesu alipoona makutano wakiwa na mawe tayari kwa kumsulubisha yule malaya,akainama chini huku akiandika,akawaambia,asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe mwanamke huyu!Yesu alipoinama na kuinuka...Wale warusha mawe wote wakawa wametawanyika.Yesu akamtazama yule malaya akamwambia ..."Nyanyuka uende zako,usitende dhambi tena".

Ally Happi,hatuitetei biashara ya makahaba ila njia unazotumia kukabilana nayo ndio sio nzuri.Unaonekana kama umetumwa kuwamaliza wengine kibiashara.Hebu tafakari upya,vijana mnaweza kuwa mna nia nzuri...Ila mna maamuzi yasiyo na break,na pale unapoamua kutumia break,ajali inakuwa tayari imetokea.

Huwezi kufanikiwa kwa kuifungia Bar moja kati ya Bar elfu zinazouza bia kwa mgongo wa wauza mbunye!!Ni ama kuamua,Kinondoni yote ifunge Bar na kusiwe na Bar za usiku.Jambo ambalo ni gumu sana,aliliweza tu Hitler na Mussolin.Vinginevyo ni kutafuta lawama na dalili za uonezi.
 
Nb: Mimi naishi magomeni mapipa bar ya macheni ilikuwa inatuletea Malaya kibao ,ikifika usiku basi makahaba kibao wanajazana na jumamosi ilikuwa siku special kwa baikoko ndio ilikuwa balaa lakini tokea hii bar ya macheni ivunjwe huwezi kuamini hali imetua hakuna kahaba utakayemkuta mitaa ya huku usiku

Na imekuwa afueni kwa wazazi sababu baadhi ya watoto wao walikuwa katika hati hati ya kuambukizwa ukimwi sababu huduma hii ilikuwa karibu mno

Kuhusu hiyo bar inaweza isizuie umalaya lakini itakuwa afueni kwa wakazi wa mitaa hiyo ,ni wakazi wangapi wanakereka kwa uwepo wa bar na Huduma hiyo hapo
 
Sawa sawa mkuu
Nafikiri hapa ni kuamua kufunga bar zote tu mitaani,na ule uashauri wa Daudi Bashite kuwa bar ziwe na mtaa mmoja ufuatwe
 
HATA DODOMA WAKATI WA VIKAO VYA BUNGE KUNA WAUZA MBUNYE WANATOKA MIKOA MBALI MBALI NA KWENDA DOM KUPIGA KAMBI WAKIWAVIZIA WAHESHIMIWA MAANA KUNA BAADHI WAHESHIMIWA NI WADAU WAKUBWA WA HAWA MADADA,HUO NDIYO UKWELI TUACHENI UNAFKI JJAMANI.....

Ova
 
Nakuunga mkono mkuu hoja yako barafu kinachofanyika kwa sasa viongozi wengi wanafanya mambo kwa kukurupuka kutafuta sifa. Wengine wanafanya mambo ambayo hawana mamlaka nayo kisheria hilo kufunga bar hayo mamlaka Mkuu wa Wilaya ameyatoa wapi. ?Hapo utakuta chuki binafsi na muhusika akaamua kumfungia bar kuna wajinga wachache wataunga mkono huu ujinga.
Huwezi kufanikiwa kwa kuifungia Bar moja kati ya Bar elfu zinazouza bia kwa mgongo wa wauza mbunye!!Ni ama kuamua,Kinondoni yote ifunge Bar na kusiwe na Bar za usiku.Jambo ambalo ni gumu sana,aliliweza tu Hitler na Mussolin.Vinginevyo ni kutafuta lawama na dalili za uonezi.
 
HATA KIPINDI KILE HAPO DOM KWENYE BAR MAARUFU ITWAYO CHAKO NI CHAKO WALIKUWA WANAJAA WAHESHIMIWA TENA WATUNGA SHERIA PAMOJA NA WAUZA MBUNY--- WAKIWAVIZIA WAHESHIMIWA,KWENYE WINDA NIKUWINDE,MBONA HAWAKUIFUNGA DUNIANI KUNA MAMBO TUMEYAKUTA NA YATAENDELEA KUWEPO TU

OVA
 
HATA DODOMA WAKATI WA VIKAO VYA BUNGE KUNA WAUZA MBUNYE WANATOKA MIKOA MBALI MBALI NA KWENDA DOM KUPIGA KAMBI WAKIWAVIZIA WAHESHIMIWA MAANA KUNA BAADHI WAHESHIMIWA NI WADAU WAKUBWA WA HAWA MADADA,HUO NDIYO UKWELI TUACHENI UNAFKI JJAMANI.....

Ova
Hapa una maanisha nini? Kwamba bunge nalo lifungwe?
 
Naamanisha wadau wa wauza mbunye wako kila sekta!hata humu jf kuna watu wanajifanya
Kushadadia corner bar kufungwa wakati hao hao ndy mstari wa mbele kwenda kwa waha-- pâle mwananyamala au buguruni kuwafuata wauza mbunye...

Ova
 
Nimeshangaa sana maamuzi ya huyu dogo!

Happi anaifungia Corner Bar halafu anaziacha Bar za karibu?Unakuwa umetataua tatizo gani sasa?
Maana ukanda ule kuanzia Shekilango mpaka Bamaga wamejaa wauza mbunye tupu,usipompata kwenye bar basi utamkuta kasimama kizani kwenye njia akikuita,asiposimama njiani basi utamkuta kwenye Massage Parlour ambazo kwa Sinza zipo wazi masaa24.

Kwenye hizi massage centres kuna malaya wa kiwango cha lami,classic na warembo haswaa,achana na hao wa buku teni wa Ambiance na Corner Bar.Sasa kwa kufunga Bar kisa inafanya biziness zinazohusishwa na wateja wake kuja kuuza na kununua miili,basi afunge na massage centres ambazo hizo kwa sasa ni centres za Malaya wa under 18,na wazee ndio wanajazana kukunwa vitambi na "watoto wao".

Maana kama Corner Bar ina leseni ya kuuza vileo lkn kuna Malaya,basi na ile njia ya Meeda kutoka Sinza kwenda Sam Nujoma Road nayo ifungwe...maana usiku matumizi ya njia na baadhi ya nyumba yanabadilika.

Pale Mori njia ya kwenda Meeda Bar kuna Guest Malaya wanajianika nje nje tu na wanadaka wapita njia,ukienda mbele maeneo ya Meeda mpaka Lufungilo(?) ni "site" ya malaya,basi waifunge na hiyo njia kila ifikapo saa moja jioni.

Mlimani City wapo malaya wanaojiuza,napo watapafunga?Jolly Club pana malaya wa kutosha kuanzia ukuta wa Aghakhan mpaka kituo cha utamaduni cha Ufaransa na Kanisa la Orthdox.Siku hizi kuna mpaka "online malaya".Hawa unawapata fb,whatsApp,Insta na huko badoo ndio balaa.Sasa unaweza kufungia makampuni ya simu kwa kuruhusu wateja wao kutumia bando kuuza mbunye?

Biashara ya umalaya ilikuwepo hata kabla ya kuja Nabii Issa Bin Mariam(Yesu).Umalaya ni moja kati ya "kazi" kongwe hapa duniani,ukitoa ualimu,utabibu na sheria ambazo ni "noble profeshno" kongwe hapa duniani,basi umalaya ndio the first among the rest.

Kuna malaya maarufu sana kwenye biblia anaitwa Rahab,malaya pekee aliyekuwa anamiliki ghorofa kwa kuuza mbunye katika mji wa Yeriko.Aliwaokoa mashushushu wa Joshua,waliotumwa kuupeleleza mji wa Yeriko kabla ya kuvamiwa na Waisrael wakitokea Misri.Na hapa huwa kuna maswali ya kiteolojia,kwanini wale wapelelezi walienda moja kwa moja kulala kwenye nyumba ya Rahabu!??Jibu linaweza kuwa jepesi...Walihitaji "huduma" na walipofika ktk mji ule walipoulizia mahali wanapoweza kupata "huduma" wakaonyeshwa ghorofa ya Rahabu.

Ni kama vile Happi na vijana wengine enzi za Udsm,wakitokea Igunga,Nzega,Ipilimbi na Kalambo.Lazima watembelee Ambiance na Corner Bar "boom" likitoka.Hii biashara ipo miaka na miaka.Ndio maana Mungu aliamua kuiweka ktk amri zake kumi ili watu waiache,sio kuzuia.

Hata Yesu alikutana na "Operesheni tokomeza Malaya" wakati wa maisha yake.Watu waliokuwa wameamua kuondoa malaya mtaani kwa kuwapiga mawe ili biashara hiyo ife.Walimkamata malaya mmoja na kumpeleka kwa Yesu,wakiwa na mawe na marungu ili wapate kibari cha kumuua kwa mawe.

Walipomfikisha kwa Yesu,wakiwa na hamu ya kuanza kumrushia mawe,Yesu aliwauliza "Amekosa nini huyu mwanamke?"Makutano wakasema anafanya biashara ya umalaya".Ajabu ni kuwa walimkamata mwanamke peke yake bila mwanaume aliyekuwa anagegeda,na hapa ndio uonezi ulipo,kwanini umkamate mtoa "raha" halafu unamuacha "mpata raha!?".

Yesu alipoona makutano wakiwa na mawe tayari kwa kumsulubisha yule malaya,akainama chini huku akiandika,akawaambia,asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe mwanamke huyu!Yesu alipoinama na kuinuka...Wale warusha mawe wote wakawa wametawanyika.Yesu akamtazama yule malaya akamwambia ..."Nyanyuka uende zako,usitende dhambi tena".

Ally Happi,hatuitetei biashara ya makahaba ila njia unazotumia kukabilana nayo ndio sio nzuri.Unaonekana kama umetumwa kuwamaliza wengine kibiashara.Hebu tafakari upya,vijana mnaweza kuwa mna nia nzuri...Ila mna maamuzi yasiyo na break,na pale unapoamua kutumia break,ajali inakuwa tayari imetokea.

Huwezi kufanikiwa kwa kuifungia Bar moja kati ya Bar elfu zinazouza bia kwa mgongo wa wauza mbunye!!Ni ama kuamua,Kinondoni yote ifunge Bar na kusiwe na Bar za usiku.Jambo ambalo ni gumu sana,aliliweza tu Hitler na Mussolin.Vinginevyo ni kutafuta lawama na dalili za uonezi.
Sio biashara bali ni taaluma kongwe
 
Hakuna mtu ananikera kama mtu anayeingilia biashara hii,ni utaratibu mzuri WA kupata burudani Kwa maelewano mepesi
 
Back
Top Bottom