Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
Kinaitwa Institution of Engineers Tanzania na kingine huwa ninasikia Bodi ya Uhandisi.
Je, tunaweza kupata data jinsi wanavyokabiliana kama wenzao wanasheria na madaktari?
Nakumbusha hivi kwa sababu penye vyuo amvayo kuna kozi za Engineering, mainjinia ndiyo huwa kama wababe wa kudai haki zao na hata kuongoza migomo, lakini wakifika huku mtaani wnaoongoza mapambano ni vyama kama hivi vya wanasheria, madaktari, walimu nk
Unaweza kutaja na kujadili vyama vingi tu.