TBC hawaishi kuchemka

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,503
2,378
TBC wanasoma taarifa ya habari ya saa moja asubuhi, sasa hivi.

Nimesikia wakimtaja mgeni aliyeko nchini kwa sasa:

MKE WA RAIS WA KWANZA WA AFRIKA KUSINI GRACA MACHEL

Jamani hawa watu wanahitaji msaada wa dharura, hawana ma editors.

Rais wa kwanza wa Afrika Kusini ndio nani?
 
Wako makini Ukweli na uhakika hasa Asha Haji ambaye namkubali katika utangazaji.
 
Back
Top Bottom