Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Habari wanajf!
Sitaki kuongea sana ila nitaomba niwalete kwenu hawa watu kisha wajuzi Wa mambo na wanaomfahamu/kuwafahamu hawa watu wanaoonekana hapa chini wakiwa na mkuu wa mkoa hasa njemba iliyovaa Shati ya blue kulia kwa makonda waweze kutoa maoni yao juu ya namna wanavyowafahamu na uhusiano wao dhidi ya vita ya madawa ya kulevya
Hapa inasemekana walikuwa kwenye private meeting baada ya party ya mheshimiwa hii leo
Karibu sana kwa mjadala