CHOTABUSARA
Member
- Feb 6, 2012
- 47
- 48
Niliposikia Tigo wanapiga kelele sijui halichachi sijui Joti kahairisha kuoa anapiga cm kuwai deadline ya time mi nilizani ya kuwa sasa ukinunua bundles za tigo hazina time limitations tena kumbe wameanzisha bundles zingine kwa bei ya juu zaidi, du wanacheza sana na akili zetu hawa mabwana