Rais Magufuli tumtetee kwenye mitandao na popote, tusikubali adhalilishwe kila uchao

Wanabodi.
Salaam Kwenu.
Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi , kejeli na dharau za kila siku dhidi yake tuzikomeshe, kwa nini aandamwe kiasi hiki?
Siungi mkono, na ninakemea "MATUSI" dhidi ya Rais.

LAKINI, hapo unaposema tumpe heko kwa kazi aliyofanya napinga; KAZI gani alizofanya kumsaidia mlalahoi mpaka sasa?! Hakuna ... Kwa mimi mtumishi, nimeongezewa zigo, je hao wanaoungaunga maisha?!
 
Wanabodi.
Salaam Kwenu.
Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi , kejeli na dharau za kila siku dhidi yake tuzikomeshe, kwa nini aandamwe kiasi hiki?
Ameandamwa na lipi ambalo alifanya kwa haki? Ni kazi ya wananchi kuwatetea viongozi wao kama wanatenda kwa haki lakini ni jukumu la wananchi wenye mapenzi mema kumkosoa asipotenda kwa haki. Je unatuhamasisha kumtetea ili mradi katetewa? Utakuwa msaada sana kama utaonesha maeneo ambayo rais amepewa matusi, kejeli na dharau? Rais anaandamwa sana katika jambo gani? Tumefundishwa "msema mkweli ni mpenzi wa Mungu" hivyo wananchi watasema kweli hata kama wewe utaona ni kejeli, matusi, au kuandamwa.
 
Wanabodi.
Salaam Kwenu.
Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi , kejeli na dharau za kila siku dhidi yake tuzikomeshe, kwa nini aandamwe kiasi hiki?
Kamuulize mwanaye mpendwa Bashite kama anavyeti og. kisha urudi hapa tukuambie kwanini Sizonje anaandamwa hivi
 
Wanabodi.
Salaam Kwenu.
Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi , kejeli na dharau za kila siku dhidi yake tuzikomeshe, kwa nini aandamwe kiasi hiki?
Unadhalilika wewe, yeye hasomi hayo maneno ya mitandaoni.
 
Namuombea siku moja akumbuke kutuongezea japo vijisenti watumishi wa umma, wenye malimbikizo walipwe nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalik.................
 
Annual increment,kupanda madaraja nk ndio nitamuona mtu ila sasa namuona bundi tu.
Wanabodi,

Salaam Kwenu,

Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi, kejeli na dharau za kila siku dhidi yake tuzikomeshe, kwa nini aandamwe kiasi hiki?
 
Mtenda mema hubarikiwa bali mtenda maovu hulaaniwa !
 
Wanabodi,

Salaam Kwenu,

Watanzania wenye mapenzi mema na nchi tuhakikishe tunamtetea kwa nguvu zote na kumpa moyo kwa kazi kubwa anayoifanya, matusi, kejeli na dharau za kila siku dhidi yake tuzikomeshe, kwa nini aandamwe kiasi hiki?
Yahitaji moyo kumtetea marehemu kuwa siyo marehemu na tayari ameshakufa.
 
Back
Top Bottom