Ushindi wa Tundu lissu katika uchaguzi wa TLS ni ishara kuwa watanzania wengi hawajasoma ni mambumbumbu. Tundu lissu alipigwa sana vita juu ya nafasi aliyogombea kwenye uchaguzi huu Rais wa...
Jela miaka 28 kwa kughushi cheti cha uuguzi
Imeandikwa na Flora Mwakasala/Imechapishwa katika gazeti la HabariLeo
MUUGUZI Lucia Ilomo (44) amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela katika Mahakama...
Za Jumapili wadau!
Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.
Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to...
Niliandika jana kuwa kuna wakati tunakuwa na viongozi njiti nikitaka ieleweke kuwa kuna viongozi wanakuwa katika vitengo fulani wakati haikuwa wakati wao! . Namna wanavyoishi ndio kitu kinachotupa...
Hongereni sana ndugu wajumbe wa mikoa yote ya Tanzania bara kwa kutumia muda wenu kutwa nzima ya jumatano tarehe 15.03.2017 mkiwa ktk harakati za kuunda chombo cha kitaifa kitakachokuwa na sauti...
Kama Jeneza linakwenda kuliwa na kuharibiwa na Mchwa kule Kaburini kuna ulazima gani sasa Watu kupoteza Pesa kununua Majeneza ya thamani na yenye nakshi nakshi nyingi? Je huu siyo upuuzi kama siyo...
Kwanza napenda ku declare interest, mimi ni mkazi wa kudumu wa mkoani Katavi, jijini Dar es Salaam huwa nakuja kwa ajili ya masuala ya kiuchumi. Wiki nzima hii niko hapa jijini Dar rs Salaam kwa...
KALAMU YA CHARLES FRANCIS KATIKA MJADALA WA ELIMU YA NDUGU "MAKONDA".
Na Charles Francis M,
Habari zenu Watanzania, nawasalimu kutoka mezani kwangu. Hapa nimeshika kalamu tayari kuingia katika...
Nuliuza gari 3years back... Sasa sikufanya transfer na hio gari sijui iko wapi kwa sasa.. Nilie muuzia hapatikani...ushauri wenu muhimu jinsi yakutoa jina langu kwenye ownership
Zaidi ya Masaa 24 kutoka sasa Maji yanatiririka Hapa Ilala Mtaa wa Lindi, na huu mtaa ni mkubwa na barabara yake inapitwa na magari mengi sana kutoka Machinga complex, Shaurimoyo hadi Ilala...
KISA CHA MUUZA SAMBUSA.
Palikuwapo na muuza sambusa mashuhuri jijini Arusha. Mgahawa wake ulipakana na kampuni moja kubwa. Kutoka na ladha murua ya sambusa zake, wafanyakazi wengi, kama si wote...
Ndugu wa tanzania wenzangu pole na kazi.
Kwa mujibu wa sheria na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania sheria sheria za uchaguzi zinataka mtu yeyote anayegombea uongozi au kazi lazima awe...
Nianze kwa kuipongeza Serikali kushirikiana na wizara ya Afya kuwaruhusu madaktari wetu kwenda kuwasaidia jirani zetu Kenya hii ni Sawa na kusema Serikali yetu imewapatia Ajira 500 madaktari wetu...
wataalamu husema kifo huwa na hatua tatu.
Hatua ya kwanza ni kukikataa kifo, yaani hapa sasa mtu anahangaika kuhakikisha anaokoa uhai wake kwa kila namna
Hatua ya pili ni makubaliano au...
Palikuwapo na muuza sambusa mashuhuri jijini Arusha. Mgahawa wake ulipakana na kampuni moja kubwa. Kutoka na ladha murua ya sambusa zake, wafanyakazi wengi, kama si wote katika kampuni anayopakana...
Mzuka wanaJF!
Ndugu zangu wala vumbi mna raha sana. Yani the Bashite Syndrome mko nalo Benet. Kama ningekuwa Leo Bongo Kesho asubuhi na mapema ningekuwa Kwa Gwajima tena kiti cha mbele tukilishwa...
Sijawahi kuona kiongozi anayetoa ahadi nyingi ambazo hazitekelezeki kama huyu
Mtaa wetu tumekesha na mafagio tukifagia lakini hadi leo hatulioni gari letu la washindi
Je makonda umetudanganya...
Nimekuwa nahitaji niwe na kitambi kwa muda mrefu sana kwa kujibweteka tu sifanyi zoezi huku nikipendelea kula vyakula vya mafuta kama nyama, hasa ya kitimoto
Lakini bado sijaona manadiliko yoyote...
nauliza tu wadau, hivi yule aliyetobolewa macho na Scorpion, kesi yake iliishia wapi? na vipi bwana bashite bado anampa msaada kupitia ile kampuni yake ya GSM?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.