jebs2002 JF-Expert Member Sep 3, 2008 9,380 8,554 Mar 18, 2017 #1 Wazazi wenye watoto wa kike kazi ipo, dunia yaenda kasi mno, tutaweza ku "catch-up"?! Au yanarudi yale ya kale, watoto wa kike kuzaa mapema? Karibuni
Wazazi wenye watoto wa kike kazi ipo, dunia yaenda kasi mno, tutaweza ku "catch-up"?! Au yanarudi yale ya kale, watoto wa kike kuzaa mapema? Karibuni