Wizi wa namna hii ukomeshwe Dar

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Wadau habari za mchana

Huu wizi wa kuiba katika magari kwa kulainisha kioo kisha wanakipiga tu kilaini wanaiba kilichomo garini kisha baadae wanakupigia simu na kukuambia uwatumie hela kisha wanakuelekeza pakwenda kuchukua vitu vyako.Wizi wa aina hii sasa umeenea sana maeneo ya Mbezi Beach na Kawe.

Tafadhali mamlaka zinazohusika zichunguze watu hawa kwani hata mawasiliano yao huyafanya kwa simu.
 
Back
Top Bottom