Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana Jf
Hii taasisi ya Jakaya Kikwete Foundation imekumbatia mambo mengi sana ambayo hata wataalam wa kuendesha mashirika wataweza kuwa na maswali mengi, mfano shirika kama sio donor au funding NGO itakuwa na muda mgumu sana kama ku implement projects wenyewe lazima wawe na focus moja tu ili wapate matokeo mazuri kwa wakati na kwa kila intervention kila wanapotoa msaada maana yangu ni kwamba foundation ina hudumia maswala ya tabia ya nchi, kufundisha vijana na kuwasaidia, inashughulikia afya ya kina mama, elimu... Duh nafikiri waliompa wazo wa hili hawakumshauri vizuri, walau angeanza na sector moja tu na kuwekeza sana ili kutoa majibu mazuri ya msaada kama ilivyo Mkapa foundation, ila tusubiri wafanye kazi evaluation itakuja na si ajabu utakuta wizi mwingi unafanywa na watendaji, implementation dhaifu, kutokuwa na majibu sahihi ya msaada uliotolewa, poor performance ya sector kwenda so deep kwenye ngazi ya Mkoa, wilaya, kijiji na kaya. Kama kuna haja ya kurekebisha bado mapema ni vizuri awe kwanza na one area of focus akifanikiwa na kuwa na majibu mazuri kwa kila ngazi ndio aongeze sector of intervention na kabla ya nyingine anahakikisha amewafikia na kupata good result baada ya intervention hivyo hivyo. Ila kama kuna mbinu na mkakati ambao utafanyika na wamejipanga kwenye Directing, supervision, controlling ambayo ni ya muda mchache kama wiki 2 au mwezi sehem zote na Evaluation ambayo ni periodical basi lazima atawekeza nguvu kubwa sana ili credibility ya foundation isichafuliwe na watumishi.
Haya ni mawazo yangu na ushauri binafsi tafadhali nisinukuliwe vibaya au kueleweka vibaya ni maoni tu.