Sorce: Watanzania hutafuta nini mtandaoni? - BBC Swahili
Mambo yaliyotafutwa sana Tanzania 2016:
matokeo ya darasa la saba 2016
beka boy
mkekabet
salehe jembe juni 26 2016
Malazi Arusha
euro...
Napenda nichukue Fursa hii kutoa yangu ya moyoni kuwa katika uamuz wangu wa kutompa mheshimiwa magufuli kura yangu sijutii na wala sitojutia kwa hichi ninachokiona ndani ya serikali anayoiongoza...
Najaribu kusaidia kama tulivyoagizwa Na niko very serious kwa hili, bipolar ni ugonjwa wa akili, kuna watu wanahitaji kupata msaada, dalili nyengine zaidi ya zilizoongelewa hapa chini kwa utafsiri...
Ndugu zangu!
Mimi ni mara ya kwanza kujenga, na nimefanya vitu vingi tayari kilichobaki kikubwa sasa ni kuweka Gypsum, mbao ameshaweka tayari, na plaster ishapigwa wa umeme kashafanya yake pia...
WAFURAHIAJI MWAFURAHIA NINI HASA?
1. Kiongozi kughushi vyeti na kutohojiwa? Ilihali kuna watumishi wameachishwa kazi kwa vyeti feki?
2. Mnafurahia kiongozi kuvamia kituo cha habari (televisheni)...
Kwanza kabisa kwa dhati ya moyo wangu nipende kuchukua nafasi hii kuwapa pole kubwa kwa yule yaliyowapa clouds media....inauma na kuumiza na kusonenesha moyo POLENI SANA.
Katikati ya pole hii na...
After the general election which enabled Magufuli to get in power ,the Nigerian prominent prophet came in Tanzania bare foot, he had something to speak forth to the nation, but he couldn't as...
Kusema ukweli swala LA makonda sikutaka kulizungumzia tena ila limefika mahali huwezi kaa kimya kwa mpenda haki
1. Baadhi ya wizara na taasisi za serikali zinakosa uhalali moja kwa moja...
Ndugu wanabodi kwa kweli kwa Sasa bara la Afrika linaongozwa na Marais wengi waliochaguliwa kidemokrasia ya kuafrika.
Lakini ukichunguza na kutathmini ubora WA viongozi WA nchi za kuafrika na...
Watu sita wanaotuhumiwa kuwa majambazi hatari, wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi katika eneo la Mbezi kwa Yusuf Makondeni katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Naibu Kamishna...
Mch. Kutamba wakati wa kuhubiri kuhusu mtu mmoja tu na kutoa matamshi ya kusema kuzaa na wazuri. Na kusisitiza kuwa yeye ana uwezo wa kuzaa!!!!!. Huku akionyesha kuwa labda wasio zaa ni ...kwa...
Hivi hizi hotuba huyu mheshimiwa wetu anazozitoa kwenye haraiki ya watanzania na duniani kwa ujumla. Najaribu kuwaza sijui akimaliza kipindi chake cha uongozi kama inaweza kurushwa hata moja...
Kamati ya Nape haina tena makali. Mkuu akisema ndio sheriaaa mkuu hapingwi ukimpinga visasi vya yule .....hee aiisee.
Sisi wapiga kura wako huku Mtama tumekuelewa nia yako ya dhati kuhusu Vyombo...
Nataka niwe na mwili mkubwa yaani mrefu halafu mnene kama wacheza basketball, tayari urefu wa kutosha ninao Ila bado mwili kimbau mbau, nishauriwe nifanyeje ili kupata mwili naohitaji. Kuna mtu...
Yanayoendelea dar hakika inasikitisha sana kwani kuna wasomi wengi, leo hii mtu anaongoza apendavyo tena anatumia hisia binafsi sio katiba tena, kijana huyu angepangiwa mkoa wa mara sidhani kama...
Wanabodi Salaam.
Baada ya salam tukumbushane jinsi wabunge wetu pendwa wa vyama vyetu pendwa wanavyomkimbia huyu mama huku wakisindikizwa na mapambio ya Lusinde mbunge wa mtera kweli itawezekana...
Kama Ngazi Za Juu Kwenye Uongozi Kuna Watu Wanatumia Vyeti Feki Na Hawajafukuzwa Mpaka Leo Huo Utakuwa Uonevu Wa Hali Ya Juu Kabisaa Hata Mungu Anakataza Kumuonea Mnyonge Ni Bora Wakarudishwa...
Wajameni kuna clip zimesambaa watssap zikimuonyesha dada wa kiganda akiuawa kinyama huko saudia
Video inaonyesha akikatwa kichwa airport na polisi wakishuhudia
Jee hii video ni ya kweli?,.Kwanini...
tunapoazimisha siku ya mwanamke duniani kuna mambo muhimu ya kujitafakari.wanawake wengi wanashikriki kwenye shughuli za kiuchumi ili kusaidia familia. baada ya wanaume kuwa mizigo.na kwa kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.