Wale wa dar poleni sana huyo ndiye mkuu wa mkoa wenu, angepangiwa mkoa wa mara sijui ingekuaje.

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Yanayoendelea dar hakika inasikitisha sana kwani kuna wasomi wengi, leo hii mtu anaongoza apendavyo tena anatumia hisia binafsi sio katiba tena, kijana huyu angepangiwa mkoa wa mara sidhani kama haya yote angeyafanya watu wangemkata na mapanga mchana kweupe.
 
Ukiona swala anaringa sana mbugani,ujue bwana simba ni bae wake-Wema Sepetu
 
Hivi kwanini wanawake wa Dsm tusichukue hatua jamani?

Hakuna 'game' hadi hawa wanaume wetu wafanye kitu juu ya Bashite...hatujali ni maandamano au lah,ilimradi wafanye chochote kitu kupingana na udhalimu huu tunaofanyiwa.

#StrengthOfWomen#
 
Hahahaaaa eti hakuna gemu, wakichepuka je? Utawalaumu kwa lipi mkuu kasema fomu alichukua mwenyewe so hapangiwi
 
Angepangiwa mkoa wa MARA nadhani angedekiwa LAMI Kabisa - MAANA MARA NI MABINGWA WA KUDEKI LAMI
 
Nguvu zetu zimeshindwa labda nguvu za wachawi zitumike sasa jamaa aokote makopo
 
Hivi kwanini wanawake wa Dsm tusichukue hatua jamani?

Hakuna 'game' hadi hawa wanaume wetu wafanye kitu juu ya Bashite...hatujali ni maandamano au lah,ilimradi wafanye chochote kitu kupingana na udhalimu huu tunaofanyiwa.

#StrengthOfWomen#
Kwa mbaaaali namuona The Bold pm anakuuliza kulikoni..

On a serious note.
Kenya wanawake waliwahi kuchukua hatua kwa mkakati huu nimesahau ishu waliyoipigania ila walifanikiwa.
 
Unazungumzia watu gani vile wale walovunja rekodi ya kudeki lami mwanaume mwenzao apite ndiyo wamsumbue Makonda watu wenyewe waoga kama nini maamuzi yao 95% hawatumii akili unakuta jambo dogo tu la kutatua kwa mazungumzo unashangaa mtu anakimbilia panga au silaha yoyote kiboko yao ni Kenonke kama unamkumbuka jamaa alikuwa anawalaza saa 17 wanaume wazima
 
N
Yanayoendelea dar hakika inasikitisha sana kwani kuna wasomi wengi, leo hii mtu anaongoza apendavyo tena anatumia hisia binafsi sio katiba tena, kijana huyu angepangiwa mkoa wa mara sidhani kama haya yote angeyafanya watu wangemkata na mapanga mchana kweupe.
Nini Mara, angepangiwa Mbeya pasingetosha au kgm.
 
Kwa mbaaaali namuona The Bold pm anakuuliza kulikoni..

On a serious note.
Kenya wanawake waliwahi kuchukua hatua kwa mkakati huu nimesahau ishu waliyoipigania ila walifanikiwa.
Hahahaaaaaa PM wapi mkuu wakati nipo nae? PM tumeiacha like 4 Months ago...

Seriously,tukiamua kabisa lazima watachukua reactions.
 
Back
Top Bottom