Mambo yaliyotafutwa sana Tanzania 2016 GOOGLE

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,706
8,875
Sorce: Watanzania hutafuta nini mtandaoni? - BBC Swahili


Mambo yaliyotafutwa sana Tanzania 2016:

  1. matokeo ya darasa la saba 2016
  2. beka boy
  3. mkekabet
  4. salehe jembe juni 26 2016
  5. Malazi Arusha
  6. euro 2016
  7. matokeo ya kidato cha nne 2016
  8. yinga media
  9. muungwana
  10. Raymond
Walichotaka kujua sana kufanya:
  1. Jinsi ya kuweka tone la dawa jichoni
  2. Jinsi ya kupata wawekezaji/wafadhili
  3. Jinsi ya kukuza nyusi
  4. Jinsi ya kujua tarehe ya kujifungua
  5. Jinsi ya kuacha kukoroma
  6. Jinsi ya kufanya cd kuweza kuifungulia kompyuta
  7. Jinsi ya kuomba na ubani
  8. Jinsi ya kupika danish na croissant
  9. Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha chokoleti
  10. Jinsi ya kujua iwapo mtoto amegeuka
Ni nini:
  1. Furaha kamili/upeo wa furaha ni nini
  2. Malengo ni nini
  3. Bae maana yake ni nini
  4. Elimu rasmi ni nini
  5. Ndoa ya wake wengi ni nini
  6. Hesabu ya jumla ni nini
  7. Matumizi ya pesa ni nini
  8. Soko la kubadilishana sarafu za kigeni ni nini
  9. Mfumo ni nini
  10. Ghala ni nini
 
My Take:
Si ajabu raia number moja wanchi hii anaangali SHILAWADU! na wasipo rusha anachokitaka basi anatuma polisi( kwamujibu wa gwajima jama aalikuw anyumbani akisikilizia baada ya kuona kimya, bashite akaaenda kulianzisha)
 
Sorce: Watanzania hutafuta nini mtandaoni? - BBC Swahili


Mambo yaliyotafutwa sana Tanzania 2016:

  1. matokeo ya darasa la saba 2016
  2. beka boy
  3. mkekabet
  4. salehe jembe juni 26 2016
  5. Malazi Arusha
  6. euro 2016
  7. matokeo ya kidato cha nne 2016
  8. yinga media
  9. muungwana
  10. Raymond
Walichotaka kujua sana kufanya:
  1. Jinsi ya kuweka tone la dawa jichoni
  2. Jinsi ya kupata wawekezaji/wafadhili
  3. Jinsi ya kukuza nyusi
  4. Jinsi ya kujua tarehe ya kujifungua
  5. Jinsi ya kuacha kukoroma
  6. Jinsi ya kufanya cd kuweza kuifungulia kompyuta
  7. Jinsi ya kuomba na ubani
  8. Jinsi ya kupika danish na croissant
  9. Jinsi ya kuanzisha kiwanda cha chokoleti
  10. Jinsi ya kujua iwapo mtoto amegeuka
Ni nini:
  1. Furaha kamili/upeo wa furaha ni nini
  2. Malengo ni nini
  3. Bae maana yake ni nini
  4. Elimu rasmi ni nini
  5. Ndoa ya wake wengi ni nini
  6. Hesabu ya jumla ni nini
  7. Matumizi ya pesa ni nini
  8. Soko la kubadilishana sarafu za kigeni ni nini
  9. Mfumo ni nini
  10. Ghala ni nini
Kwa mchanganuo wangu ni kwamba;
1.Matumizi ya mtandao kwa Tanzania si kwa ajili ya biashara(mengi).Hii inatokana na dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa jamii kubwa ya watanzania kwamba matumizi ya mtandao ni kwa ajili ya mambo yasiyo ya muhimu.Japokuwa kuna keywords ambazo hazijatajwa hapo juu kulinda heshima za nchi.
2.Wasomi wengi (sio wote) hawatumii mtandao kufanya kama sehemu ya kujifunzia.Endapo wasomi wengi wangekuwa wanatumia mtandao kwa ajili ya elimu zao basi tungepata keywords za mambo mengi yahusuyo elimu.
3.Idadi ya wenye elimu wanaotumia mtandao ni ndogo ukilinganishwa na wasiotumia mtandao.Hii inajidhihirisha katika keywords zilizoonyeshwa hapo juu.
4.Biashara na makampuni mengi ya tanzania(sio yote) hayatumii kikamilifu mtandao kutangaza biashara zao.Japokuwa mtandao ni soko linalokuwa kwa kasi sana.
5.Watu kutumia mtandao kutafuta matokeo yao ni jibu kwamba taasisi zinazohusika haziko wazo kuweka au kutangaza matokea kwa uwazi mtandaoni.

Nakaribisha maoni
 
Hahahaha nchi huru hii pageranking algorithm ndo umuhimu wake kwa watanzania kujua "Bae maana yake nini"
 
Nimependa hiyo namba 2. Jinsi ya kupata wawekezaji, naona watu wameanza kuamka. Sasa ngoja nitafute vijana wenye startup moto moto bongo niwape investment.
 
Safi san kweny #12.JINSI YA KUPATA WAWEKEZAJI.Naiona nchi ya viwanda inakuja
 
mwaka huu itakuwa.

1.Makonda
2.Harmorapa
3..................................
 
Back
Top Bottom