Siasa ... Achen bwana. Asikwambie mtu. Siasa ni mchezo wa kishetani hasa kwa sisi waafrika. Mwanasiasa anapokuja kuomba kura kwako ni tofauti na yule ambaye utakuwa umeshampa kura.
Zaman walisema...
Kwa sasa mitandao ya kijamii imetanda matukio mengi ya roho za visasi toka kabila moja ambalo ni kubwa.Ninataka niseme hivi tuwe na tahadhari hii ni tabia ya madhabahu ya miungu yao...
Tunayo majonzi makubwa kukupoteza ndugu yetu,mwanachuo mwenzetu Mariam mwaka wa pili (KOTC).Pamoja na changamoto zote ulizo pitia toka Udom,kasulu hadi Korogwe ambapo ndipo umauti umekufikia.Japo...
Tunahitaji "strong media"kuzuia dharau na kebehi kwenye tasnia hii! Ndani ya mwaka mmoja waandishi wa habari wamekuwa wanakutana na kadhia ya kudharauliwa na baadhi ya viongozi hususani baadhi ya...
Kwa mujibu wa maelezo ya Gwajima katika ibada ya Leo ni kuwa ( kama ni kweli) kuna mkubwa mmoja alikuwa standby akisubiri Shilawadu aone Gwajima "akivuliwa nguo'. Baada ya dalili ya kutochezwa...
Kama kichwa kinavyosomeka wadau mpaka sasa hakuna page yoyote ya clouds iliyopost taarifa yoyote kuhusiana na kilichokuwa kinaendelea ubungo najiuliza ni wameshaukinai huu utawala wa kibashite na...
Mwalimu wa shule ya secondary ya Mkwakwani,jijini Tanga,amempiga mwanafunzi wa kidato cha nne,Mohammed Seleman, wa shule hiyo mpaka kupooza.
Kutokana na kuchelewa shule,mwanafunzi huyo...
Habari za jumapili..
Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusiana na swala la wanafunzi zaidi ya elfu 7 kufukuzwa chuo kikuu Dodoma kwa madai tatanishi kulingana na kauli za viongozi wa nchi: 1-...
Wakuu tangu ile October nilipochovya kidole changu cha mwisho baada ya kutumia kadi yangu ya kupiga kura..
Leo baada ya speech ya uzinduzi wa ujenzi wa Fly over [Ubungo] nimejikuta naitafuta na...
Haya sasa halooooooo,alisema siku ile anaadhimisha mwaka mmoja wa ku i pelekesha DSM,ata deal na showrooms na bureau de change,na wale wa pakistan muache kumdaidai zile saloon cars 4 ndo imetoka...
mangekimambi_Natumaini Sasa watanzania mmeelewa kuwa ile haikuwa vita ya unga bali ilikuwa chukiiiiii bahati nzuri Watanzania tulistuka mapema mnooooo..
I am just hoping that you are genuine and...
Ni kitafunwa kinachopendelewa sana na watoto kikiwa katika fleva mbalimbali ukizitoa kwny pakti na kuzimwagia maji na kuzifikicha zinalainika na kuwa gundi nzitoo je hizi chama na jamii ingine ya...
Wakuu habari zenu.
Naomba msaada nakusudia kwenda Uhamiaji Kurasini kwa usafiri wa umma ila sijui nipande basi gani natokea Tegeta Nyuki.
Nitashukuru kwa maelekezo ni mimi dada yenu Rihana!
Jamani hii nchi tutaibiwa mpka lini?
Kwa sasa mizigo ya kwenda nje imeshukwa kwa rate kubwa sana sasa inaonekana tutaifidia sie tunaogiza mizigo toka nje kwa matumizi yetu binafsi.
Kwa sasa...
Wakuu salama?
Naomba tu kujuzwa iwapo hapa kwetu Tanzania kuna makampuni ya kupimping magari. Kuna kagari kangu nimejaribu kukiuza hakiendi, mtu akishajua ni automatic harudi tena.
Sasa...
Wapendwa habari zenu, tumeshuhudia na kusikia kwa ushahidi wote kuhusu uvamizi wa kituo cha matangazo cha Clouds Media,
Na baada ya tukio hili tumeona vyombo vya habari vingi na redio pinzani na...
naamka asubuhi na mawazo mengi sana kuhusu swala la majirani wasiokuwa na hoja nyeti na za msingi za kuimarisha mtaa wetu wa kamficheni, zaidi ya kulishupalia swala la mtoto wa balozi wa nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.