Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana na Mungu tuna fursa nyingi za kazi na malengo mapana ambayo yanahitaji mabilioni ya dola kutekelezeka haraka kwa kuwa issue ya viwanda imepewa kipaumbele sana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima (TIRA), yakanusha taarifa iliyotolewa na Kampuni ya Bima ya Mwananchi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mfalme Juha ni simulizi inayohusu Mfalme ambaye alikuwa anajali sana jinsi anavyoonekana kwa watu, mwenye kupenda makuu na ambaye alikuwa tayari kupata kila anachokitaka. Mfalme huyo, katika...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Mh. Mkuu wa mkoa alionekana akipita taasis mbali mbali za dini akiiombewa. Je hili alilofanya clouds ni malipizi ya maombez aliopata au ni dharau?
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Bilashaka mko poa , nachelea kuamini kama kuna wataalum kweli wa sheria nchi hii. Nasemahivi kwa sababu hakuna hatua zozote zinazochukuliwa pale inapobainika sheria imevunjwa. Mfano ni matukio...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hakimu wakati anaikaribia nchi ya kusadikika.. Ndugu zangu, Naziona ishara za wakati unaokaribia. Ni wakati utakaotoa hukumu isiyobakisha maswali kwa watu wa kusadikika. Ni hukumu...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Mpaka sasa sijaona wasanii wengi wakipost kwenye account ya mitandao yao ya kijamii wakiipa pole Cloud's media kwa uvamizi waliofanyiwa na RC makonda kwenye studio zao jee hii inamaana wasanii...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Watanzania huwa hatuelewi tunatakana nini,tunapaswa kufanya nini kwa wakati gani....sometimes naweza sema sisi watanzia ni wafata mkumbo. Najiuliza tu nguvu kubwa iliyotumika kumkomalia Makonda...
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Hiki kifaa kinauzwa wapi? Kwani Tanzania hatuwezi kununua kimoja? Nasikia kinasaidia sana wananchi wenye matatizo sugu. Anayejua jinsi ya kukitumia please tusaidiane
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Mvua Kubwa Zilizonyesha Katika Milima Ya Mguruwandege Mkoani Morogoro Zasababisha Mafuriko Mvua kubwa zilizonyesha katika milima ya Mguruwandege kata ya Lukobe manispaa ya Morogoro zimesababisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika nchi yetu hii tulishajijengea utamaduni wa kukosa na kukosolewa, hii ni kitokana na ukweli kuwa hakuna binadamu ambaye yupo sahihi kwa asilimia 100, inasikitisha sana kuona kuwa kuna juhudi...
2 Reactions
82 Replies
5K Views
Habar wanajamvi nauliza hivi yale mapepo yale gwajima alisema atakuwa anamrushia mkuu wa mkoa wa dar es salaam yaruka kweli au bruetooth aijawa paired. Kitendo cha kwenda kichwa kichwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Kama ilivyo ada; ni ngumu sana kupata vyote katika utaftaji Wa maisha bora ;kwakuwa katika yote ya yote lengo kuu huwa ni kufanikiwa! Swali; Je: maisha yanahitaji nini zaidi? Je, ni chaneli...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Hili dongo c Kwan wananchi wa Dar pekee.. Kwa mtazamo wangu, ni dongo pia kwa Waziri nape aliyetangaza kuunda tume ya uchunguzi wa tukio hili la aibu. Magu anawaaibisha mawaziri wake na kuwajaza...
1 Reactions
1 Replies
917 Views
Wakuu ninashida ya contact za Hawa Chando au Leila Chando, niliachana nao Kampala mwaka 1979. Plz mwenye contact za watu hawa nahitaji sana wakuu. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tangu kuanza kwa Uongozi wa awamu ya tano pamekuwa na matamko Mengi na Maneno mengi ya kufurahisha wakati mwingine. Kali zaid ni Maneno Mapya yaliyojitokeza week hii. 1. Kazi Tu. 2.Urafiki wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapo wanaosikitika, wapo waliokwazika, wapo ambao wanaolalamika kwamba haki haikutendeka kwa Makonda hakuchukuliwa hatua sitahiki na wanazochukuliwa viongozi wengine. Binafsi nimefunga mjadala...
17 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndio kusema Wakristo tumekatazwa habari ya kisasi au mimi ndo sijaelewa?!Nifafanulieni tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wabunge wa upinzani plus wa CCM ambao wanaonyesha nia ya mabadiliko na wamechoka na haya yanayojiri nchi hii,wa raise motion ya impeachment ingawa wako wachahe lakini let it be on record...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Back
Top Bottom