Jamani hii nchi hatuhitaji kingine zaidi ya barabara???Kila siku barabara, mahostel,NHC, vivuko...

Yeah tunahitaji barabara,hostels kwa vijana wetu,nyumba za kuishi na kufanyia kazi,na vivuko ili tuwasiliane kwani vipi unahitaji na mke/mume?oa au olewa tu.
 
Hoja nyingine huwa mnazileta humu kwa makalio gani....
Huku sikiliza na kuitazama Hotuba We Nyumbu....
 
Mlichagua aliekuwa waziri wa ujenzi
Sasa muda wote anahisi yeye bado ni waziri wa ujenzi tu,
Subirini flyover, mahostel na majengo ya bar na macasino
 
Na hiyo ndio kazi ya serikali, wewe Unataka uletewe chakula mezani.

=====

Leo umesema wanajenga madaraja, barabara na vivuko wenzio wanakuambia serikali haijawahi kufanya chochote kwa miaka 50
Mashabiki wa kijinga kama wewe nawafananisha na kinyesi cha binadamu .
 
Ndivyo wanavyopumbazwa navyo...mimi fly over zitanisaidia nini ...zinaongeza nini kwenye maisha yangu ...
 
Back
Top Bottom