Muhimu!!Do we have a more serious case a BIPOLAR at the helm!

Andrew Mushi

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
630
696
Najaribu kusaidia kama tulivyoagizwa Na niko very serious kwa hili, bipolar ni ugonjwa wa akili, kuna watu wanahitaji kupata msaada, dalili nyengine zaidi ya zilizoongelewa hapa chini kwa utafsiri wake ni kama, kufoka foka ovyo, wasi wasi, kutoambilika, maudhi (irritable), kupata na nguvu za ajabu ajabu, kuongea kwa kutumia nguvu nguvu pasipo hitajika, kucheka cheka pasipo chekwa, yaani muathirika hasomeki na familia au jamii iliyomzunguka, hamuangalii mtu usoni,

Kukosa usingizi, kukesha wakati wa kuzidiwa,

Muathirika anafanya maamuzi ya ajabu pasipo kujali matokeo yake...

Kwa zaidi pitia link hapo chini


946a8ec5addb9d298796e905f47d33bf.jpg


8a9bde34b223f6b680209b8b294c27cc.jpg


Kupata kuelewa madhara Na matibabu hapa..

Bipolar disorder - Wikipedia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom