Wafanyakazi Waliofukuzwa Kazi Kwa Vyeti Feki Bora Warudishe Kazini Tu

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Kama Ngazi Za Juu Kwenye Uongozi Kuna Watu Wanatumia Vyeti Feki Na Hawajafukuzwa Mpaka Leo Huo Utakuwa Uonevu Wa Hali Ya Juu Kabisaa Hata Mungu Anakataza Kumuonea Mnyonge Ni Bora Wakarudishwa Makazini Wale Wote Waliofukuzwa Kwakufoji Vyeti
 
Back
Top Bottom