Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,582
- 48,737
tunapoazimisha siku ya mwanamke duniani kuna mambo muhimu ya kujitafakari.wanawake wengi wanashikriki kwenye shughuli za kiuchumi ili kusaidia familia. baada ya wanaume kuwa mizigo.na kwa kiasi kikubwa zaidi ya asilimia 80 wanawake ndo walezi wa familia maana wanaume wameshindwa kabisa. wanawake wanasomesha watoto,wanalea wazazi ,wanajenga nk
Mungu katika uumbaji wake aliweka siku maalumu za mwanamke kupandwa au kujaamiana je ni wanawake wangapi wanapewa haki hiyo? utafiti uliofanyika wanawake wengi hatupati huduma ya tendo la ndoa .na hao wanaopata hawafikishwi. yaani wanaume mmekwama kiuchumi hadi kimwili? mtaenda kujibu mbele za Mungu!
karibuni temeke kwenye maadhimisho