by
Nizar Manek
,
Paul Wallace
, and
Solape Renner
March 20, 2017, 3:00 AM GMT+3 March 20, 2017, 3:19 PM GMT+3
Dangote operation asked to let youth supply raw materials
Regional administration...
Wana bodi habari Leo,
Ukisikiliza na kufuatilia yanayo-trend kwa issue ya Clouds Media kuvamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiwa na wanausalama wasiopungua sita ni dhahiri utagundua...
Muda unakuja mda c mrefu tutamuimbia Amigo......
" Wakati tunakupa ushauri ee ulituona sisi watu fitina, kuingilia mambo yako ya ndani, tukuache Kama ulivyo, sababu wewe ni Bingwa wa maisha...
Muda unakuja mda c mrefu tutamuimbia Amigo......
" Wakati tunakupa ushauri ee ulituona sisi watu fitina, kuingilia mambo yako ya ndani, tukuache Kama ulivyo, sababu wewe ni Bingwa wa maisha...
Mabilionea 25 wa Afrika mwaka 2017:
1. Aliko Dangote, Nigeria
Utajiri: $12.2 bilioni
2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini
Utajiri: $7 bilioni
3. Mike Adenuga, Nigeria
Utajiri: $6.1 bilioni...
Najaribu kuangalia tangu drama zote hizi zianze mara madawa mara vyeti mara kuvamia kituo waziri wa mambo ya ndani ambaye ana dhamana kubwa katika tuhuma zilizotajwa amekuwa kimya, mi naona huu ni...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru mfanyabiashara Yusuf Manji ambaye alikuwa kizuizini chini ya Idara ya Uhamiaji, kuachiwa huru chini ya dhamana aliyopewa kwenye kesi namba...
KESI ya kughushi na kujipatia ardhi kwa njia ya udanganyifu Iliyofunguliwa na aliyekuwa mkuu wa wilaya katika kipindi cha serikali ya awamu ya tatu na ya nne , Danny Makanga dhidi ya mume mwenzake...
Hivi uchangishaji wa pesa mmeutoa wapi? Pale mtu anapotoka kununua vyakula na gari lake mnataka mpewe shilingi 500. Ina maana mmeweka kiingilio?
Acheni huo wizi.
Majuzi tu kumetokea mjadala mzito juu ya matendo ya Aibu yaliyofanywa na kiongozi mkubwa RC. Tumepiga kelele nyingi tukiwa na mategemeo ya majibu yanayofanana na maswali yetu. Kama itikio Father...
Vyama pinzani kazi yake kuu ni kuikosoa serikali pale inapokosea iweze kujisahihisha na kutimiza wajibu wake kwa wananchi.
Hapa kwetu kuna ujinga wa watawala kuwaaminisha wananchi kwamba kuikosoa...
Kama mnavyojua Aga khan hospital - dar es salaam (upanga) wameongeza jengo pale ilipokuwa parking sasa ukienda kupata huduma/kuona mgonjwa jiandae kupark nje/pembezoni mwa bahari. Chukua tahadhari...
Ukiingia jiji la Mwanza miongoni mwa vitu ambavyo enzi hizo huwezi kupanga kuvikosa ni kisiwani hapo. Kwenda kujionea wanyama hasa siku za siku kuu. Japo walikuwepo fisi na simba mzee lakini...
Wakuu habari zenu, naleta kwenu hii topic..... Nina experience ya Nchi za wenzetu zilizoendelea huwa wanakuwa na Mabaraza ya Vijana Ngazi ya Taifa yanayojumuisha Vijana Wasomi, wajasiliamali na...
Dr Myles Munroe aliwahisema Watu maskini sio wakuwapa uongozi wa juu wanatakiwa wawe chini ya na sio juu ya.
Nami nasema mtu aliyepitia kwenye umaskini na shida nyingi sio mzuri wakati mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.