mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 342
Hivi hizi hotuba huyu mheshimiwa wetu anazozitoa kwenye haraiki ya watanzania na duniani kwa ujumla. Najaribu kuwaza sijui akimaliza kipindi chake cha uongozi kama inaweza kurushwa hata moja. Maana naona Zimejaa kutukana watanzania walio mchagua na kutetea wanaoongoza kwa maguvu. Kwa hiyo inapelekea utawala wa mabavu tu. Naweza kwenda popote na kufanya lolote najua yupo atanitetea. Kumbe hujui una mharibia tu huyo mkuu. Sasa hotuba zake hizi nawaza kama wanamwandalia au zimejaa hisia hisia tu. Washauri wa huyu mheshimiwa tafadhari kaeni chini mumwambie anapoelekea sijui. Tuombe zaidi busara kwenye uongozi.