Hili tukio la dada wa kiganda kukatwa kichwa hadharani Saudia ni kweli?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Wajameni kuna clip zimesambaa watssap zikimuonyesha dada wa kiganda akiuawa kinyama huko saudia
Video inaonyesha akikatwa kichwa airport na polisi wakishuhudia
Jee hii video ni ya kweli?,.Kwanini tunaendeleza uhusiano na haya mataifa kama oman, saudia ambayo yanaua na kunyanyasa ndugu zetu?
 
Sio mganda yule, wengine wanasema ni mGhana, nilisoma gazeti la uingereza linasema ni mdada wa far east asia
 
Wajameni kuna clip zimesambaa watssap zikimuonyesha dada wa kiganda akiuawa kinyama huko saudia
Video inaonyesha akikatwa kichwa airport na polisi wakishuhudia
Jee hii video ni ya kweli?,.Kwanini tunaendeleza uhusiano na haya mataifa kama oman, saudia ambayo yanaua na kunyanyasa ndugu zetu?
umesema tu, ila cc hatujaona, labda utuoneshe na cc tuone, tujiridhishe, tuamini ndiyo tutoe maoni.
unawezakuta ni photoshop
 
Wajameni kuna clip zimesambaa watssap zikimuonyesha dada wa kiganda akiuawa kinyama huko saudia
Video inaonyesha akikatwa kichwa airport na polisi wakishuhudia
Jee hii video ni ya kweli?,.Kwanini tunaendeleza uhusiano na haya mataifa kama oman, saudia ambayo yanaua na kunyanyasa ndugu zetu?

Wewe mkuu una ujuzi wa kuingia mtandaoni - hutumii ubongo kidogo ukatafiti na kupata hakika ?
 
Wajameni kuna clip zimesambaa watssap zikimuonyesha dada wa kiganda akiuawa kinyama huko saudia
Video inaonyesha akikatwa kichwa airport na polisi wakishuhudia
Jee hii video ni ya kweli?,.Kwanini tunaendeleza uhusiano na haya mataifa kama oman, saudia ambayo yanaua na kunyanyasa ndugu zetu?
Weka video nasie tujionee ya walimwengu....
 
House girl kule ni kila kitu unafanya kazi zote, kuosha nyumba, magari, kufua,kupika,kuingilia kotekote,nk.Kenya ilipiga marufuku kwenda kufanya kazi kule hakuna utu,kwa ushahidi wa wengi.
 
Mtu mweupe sio mtu,hasa hao waarabu sisi weusi wanatuona nyani tu ukijipindua anga zao maji utaita mma...mawili:hawajakutumikisha watakufukuza kwao bila chochote&hawajakuua watakutia ulemavu wa maisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom