Nape tengua kamati yako Mkuu kasema hapangiwi

~~~>>>Jambo la kushukuru Mkuu wa Kaya amekiri kuwa Hashauriwi na hapokei Ushauri wa mtu yeyote........ Anafanya anachotaka.


~~~>>>Tunamsubiria 2020 atupigie tena PushUp.......
 
~~>>>Ni aibu kubwa sana kiongozi kuandaa Video ya kumchafua mwananchi wako!

Huu ni Ujinga wa kiwango cha Kimataifa ....
 
Madictector wengi walianza hivi tena huanza a walindani mwa chama chake wanaonekana hawaendi sawa
 
Back
Top Bottom