Kitikiti
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 353
- 249
Mch. Kutamba wakati wa kuhubiri kuhusu mtu mmoja tu na kutoa matamshi ya kusema kuzaa na wazuri. Na kusisitiza kuwa yeye ana uwezo wa kuzaa!!!!!. Huku akionyesha kuwa labda wasio zaa ni ...kwa kuwacheka. Hii sio kweli kuwa ni udhalilishaji kwa wagumba?.
Kuna mwingine alisema amempangishia ... Kibangu na anamlaga... mara wa USA naye katuma kuwa hafanyi kazi...
Sasa hawa kweli ni wakuamini?. Mbona ni kama wana jichanganya tu?.
Vita na wauza madawa kweli ni ngumu sana. Yaani mch. ameacha njia kabisa. Na wananchi wengi wamepotea kabisa. Mch. anashangiliwa na amepata wafuasi wengi tu.
Haya anzeni kunishambulia.