H1N1
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 4,217
- 1,579
Ndugu wanabodi kwa kweli kwa Sasa bara la Afrika linaongozwa na Marais wengi waliochaguliwa kidemokrasia ya kuafrika.
Lakini ukichunguza na kutathmini ubora WA viongozi WA nchi za kuafrika na kuwapanga kadri ya ubora na uongozi uliotukuka,mtazamo wangu ni Kuwa Rais WA JMT na Rais WA South Afrika wanaweza kuwa na mchuano mkali sana kugombea namba ya kwanza. Yeyote kati ya Jacob na John anaweza kushika namba Moja kwa ubora. Nini mtazamo wako wewe ?