Dr Myles Munroe aliwahisema Watu maskini sio wakuwapa uongozi wa juu wanatakiwa wawe chini ya na sio juu ya.
Nami nasema mtu aliyepitia kwenye umaskini na shida nyingi sio mzuri wakati mwingine...
Mwanzo ilisikika JPM hashauriki ikaishia hewani ila leo amejidhihirisha wazi kwa watanzania wote kuwa yeye "Hashauriki" nanukuu "Mpaka watu wengine wanaingilia Uhuru wangu, Mimi huyu uniingilie...
Kwa kuonyesha dharau na jeuri juu ya wananchi wako waliokuchagua.. Unadiriki kuwaita wambea na kuwaambia huwezi kuwasikiliza kilio chao kwakua umeamua kuonyesha mapenzi Kwa mwanao wa pekee...
Natoa rai kwa wanasheria Wetu kutusaidia kumfungulia huyu jamaa mashitaka mahakamani kutokana nauvamizi huo ili liwe fundisho kwa viongozi wa tabia hiyo
Bill Gates (mwanzilishi mwenza wa Microsoft): $86bn
Warren Buffett (mwekezaji Mmarekani): $75.6bn
Jeff Bezos (mwanzilishi wa Amazon): $72.8bn
Amancio Ortega (mwanzilishi wa Inditex): $71.3bn
Mark...
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan kwa kupita juu ya bahari hadi barabara...
kosa lake kisheria hukumu yake ya chini kabisa ni kifungo cha miaka kumi jela na kazi ngumu
Blackmailing tumezoea kuona ikifanywa na wahuni na wezi wa kutumia mbinu hii ama vikundi vya...
Habarini wana jamvi?
Naomba mwenye kufahamu wapi maeneo ya Tabata na maeneo ya jirani kama vile Buguruni au hata Gongo la Mboto sehemu wanayofundisha karate.
Nawasilisha
Nimeanza kupata woga sana baada ya kusoma na kuona video zile za utekaji.
"Mtangazaji akapigwa mtama akaanguka chini,akajificha kwenye meza,mwingine akataka kubisha akapigwa na kitako cha silaha...
Jana nimeipata hii list ya nchi zenye/zisizo na furaha dunia
yani na sisi tunao semekana ni nchi ya amani kumbe mioyo yetu imejaaa uchungu na majonzi
sijui ni sababu ya mukulu au La ?
Kweli...
Serikali inasisitiza uvaaji wa kofia ngumu (helmet) kwa dereva na abiria wa boda boda. Kiusalama hii ni sawa kabisa hasa inapotokea ajali.
Lakini vipi kiafya kofia moja kuvaliwa na watu wengi...
Kwa kuwa yule mkuu amedai kwamba hapelekeshwi, na haambiwi, kwa kifupi mkuu ameonyesha jeuri na kiburi cha hali ya juu kwetu sisi watanzania, nadhani itakuwa vizuri tukianza kuangalia ni jinsi...
Huwezi amini wakati huo mawingu disco linatamba dsm an Arusha jamaa alikuwa anafanya kazi ya kufagia nywele za wateja kwenye salon mitaa ya nyamanoro na alikuwa analala humohumo
Wakati clouds fm...
Tokea ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam niseme tu ukweli sijawahi kubahatika kumwona Mkuu wa Mkoa ambaye anafanya Kazi zake vizuri kabisa na kiueledi kabisa kama Mkuu wa Mkoa kipenzi cha...
Swala la Ujambazi katika Nchi ya Tanzania ni jambo linalotikisa nchi mara kwa mara. Kwa wakati tofauti tumekuwa tukishuhudia matukio ya kijambazi sehemu mbalimbali nchini Tanzania, Majambazi hao...
Salaam nyingi wanajamvi wenzangu.
Baada ya salamu ningependa niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Baada ya tukio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda la kudaiwa kuvamia na...
Unaweza ukafikiri na kukufuru kuwa labda mungu ni mwoga kwa binadamu wake aliowaumba, lakini mwishowe utakuja kupata jibu kuwa uhuru ukipata kiasi, ukasahau mila na desturi zako na baadae ikatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.