Kulikoni king'amuzi cha DSTV Explorer?

zebradume

Member
Mar 27, 2014
48
18
Toka jana jioni naona picha zinaganda kwa muda mrefu na king'amuzi kinashindwa kung'amua. Kulikoni huko DSTV jamani?
 
Ni kweli hilo tatizo lilikuwepo Jana na Leo asubuhi lakini kwa sasa naona kama limekwisha
 
Mkuu muite fundi aliekufungia dishi lako May be imetikiswa Na upepo au chomoa Na kukaza waya unaotoka kwenye dishi kuingia kwenye LNB. Otherwise pole kwa kukosa uhondo wa DSTV.
 
Dstv ileteni bas EATV!!! Aalafu kwanini msifanye utaratibu wa kuongeza ongeza vichannel kwa sisi watu wa chini!!! Ka elfu arobain ako kakubwa bwana!!!
 
Mtafute fundi aongeze signal mkuu. Jana nilipata shida kama hiyo.
 
Jana imezingua sana mpaka uizime then uwashe ila ikikaa muda inaanza maluweluwe. Niliingiwa hasira ukichukulia nalipia premium lakini ndio Tanzania yetu
 
Masihala ayo
Au unaonyesha mpira kwa kulipia
 
Masihala ayo
Au unaonyesha mpira kwa kulipia
Laiti ungejua unaongea na nani? Haya bana kweli naonyesha mpira kwenye vibanda!!! Hahahah una mawazo ya kijinga sana wewe utakuwa mpumbavu sana kukaa kuongea ujinga kwamtu usiyemjua. Hapo nimeeleza matatizo niliyokutana nayo wewe unaanza kuongea mambo ya vibanda. Umeanza kuangalia dstv kwa mjomba basi imekuwa tabu sana mpaka unaanza dharau kwawatu usiowajua!!!!
 
Mkuu, nahisi k

Mkuu, nahisi kama ni lugha tu hujaielewa, jamaa hakuwa na maana ya kukudharau; nilivyoelewa mimi, amejaribu tu kuelezea uwezo wake akilinganisha na wako; kwamba PREMIUM ni ela ndefu sana kwake, na anaona sababu kubwa itakayomfanya alipie hivyo ni kama angekuwa anafanya biashara hiyo na si matumizi ya kawaida nyumbani.

Usimtunishie msuli, muelewe tuu!
 
Yawezekana kweli ila kila mtu anajikuna anapofikia so kama yeye analipia king'amuzi cha elfu tisa asikae kudhani wote tupo sawa.
 
Unafikiri kwa kutumia MAKALIO jitu zima hovyo wewe unaelezwa kwa ustaraabu halafu unaleta majigambo ya kiuchumi kwani hivyo vijipesa vyako vinatusaidia nini sisi? Unatulisha?, unatuvisha?, wacha upumbavu dharau zako peleka kwa walezi wako waliokulea kwa tabia za kichokoraa , shwaini usiye na adabu kwa watanzania wenzako.
 
Mkuu sasa nawe kuwa na hekima haina gharama.Ukikaa kimya itakuwa ni busara kuliko kuchangia kwa gadhabu .Hivi kuna boutique yoyote dstv ya shs 19,000/=? Kama una uwezo wa kulipia premium kwa nn hukumtafuta fundi direct au ulikuwa unadhani kuna mtu ana screwdriver humu? Kwa kukusaidia nenda kaza wire unaotoka kwenye LBN umelegea huo kisha lete mrejesho.
Mkuu muite fundi aliekufungia dishi lako May be imetikiswa Na upepo au chomoa Na kukaza waya unaotoka kwenye dishi kuingia kwenye LNB. Otherwise pole kwa kukosa uhondo wa DSTV.
 
Unafikiri kwa kutumia MAKALIO jitu zima hovyo wewe unaelezwa kwa ustaraabu halafu unaleta majigambo ya kiuchumi kwani hivyo vijipesa vyako vinatusaidia nini sisi? Unatulisha?, unatuvisha?, wacha upumbavu dharau zako peleka kwa walezi wako waliokulea kwa tabia za kichokoraa , shwaini usiye na adabu kwa watanzania wenzako.
Shida zako unajikuta unaamka na hasira. Utajijua endelea kushangilia chama chenu maana kwa mtazamo ulionao lazima utakuwa mpumbavu sana na una njaa sana na yote hayo ni chama chako, pole
 
Mkuu sasa nawe kuwa na hekima haina gharama.Ukikaa kimya itakuwa ni busara kuliko kuchangia kwa gadhabu .Hivi kuna boutique yoyote dstv ya shs 19,000/=? Kama una uwezo wa kulipia premium kwa nn hukumtafuta fundi direct au ulikuwa unadhani kuna mtu ana screwdriver humu? Kwa kukusaidia nenda kaza wire unaotoka kwenye LBN umelegea huo kisha lete mrejesho.
Nilichangia mwanzoni naona mnakuja kunishambulia tu akaja mpuuzi mmoja sasa naona wote ila sitashangaa kwa hii hali ya uchumi ukisema una uwezo kidogo watu wanakuchukia wakati ni mambo ya kawaida tu leo kwangu kesho kwako hata hivyo kwenye post yangu nilichangia kuhusu kukubali kuwa kulikuwa na tqtizo la network siku hiyo sasa ishu ya mafundi sijui mara naonyesha kwenye vibandaau majigambo hayo ni vike mnajisikia kusema ila soma post yangu ya kwanza halafu angalia kama niliemjibu hakustahili jibu langu maana amelipukia tu kisa yupo kwenye keyboard
 
Mkuu sasa nawe kuwa na hekima haina gharama.Ukikaa kimya itakuwa ni busara kuliko kuchangia kwa gadhabu .Hivi kuna boutique yoyote dstv ya shs 19,000/=? Kama una uwezo wa kulipia premium kwa nn hukumtafuta fundi direct au ulikuwa unadhani kuna mtu ana screwdriver humu? Kwa kukusaidia nenda kaza wire unaotoka kwenye LBN umelegea huo kisha lete mrejesho.
Hii ni ishu ya siku nyingi na bahati mbaya ilikuwa ni mawingu ndio yalisababisha thanks
 
Back
Top Bottom