mzado
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 1,023
- 1,531
Sanaa ya muziki hutumika kufundisha, kuonya; kuelimisha na kuburudisha jamii ama mtu binafsi.
Kulingana na hali inayoendelea nchini kwetu kisiasa, kiuchumi na kijamii pia kulingana na mtazamo wako binafsi, naomba utaje angalau wimbo mmoja ambao ukiusikiliza unakua kama sound track ya kukufariji ama kukuburudisha au kukuelimisha ktk wakati huu & itakuapoa zaidi kama utatupia baadhi ya mistari ambayo unakukuna zaidi.
Binafsi mzee wa busara by juma nature, "jumaa eeh mwambie mama Haruna aingize watoto ndani mapema mzee wa busara kakorofishana na akina john mgema"