Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 556
Roma Mkatoliki: Huyu bwana siku hizi kaacha kabisa siasa, zile nyimbo zake za kimapinduzi haimbi tena kwa uoga wa kuitwa central. Mara ya mwisho kumsikia anaimba maswala ya ''K'' na kamatia msambwanda na kina Snura.
Mrisho Mpoto: Huyu yeye ndio muziki wenyewe kaacha kabisa maana hanaga idea nyingine zaidi ya kuwasema watawala, sababu huyu mtawala anatumia mkono wa chuma kaamua kuungana nae pamoja na madhaifu makubwa aliyo nayo.
John Mnyika: huyu bwana kwa kweli sijui ni nini kilimpata maana haeleweki kabisa.
Embu tuongezee na wengine kuwakumbusha uoga pia ni dhambi pia kwa Mungu kama zilivyo dhambi nyingine.