SEGUZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 280
- 196
Nakumbuka kuna vedeo ya hutuba ya baba wa taifa akizugumzia umuhimu wa uwajibikaji na kuhusiana tukio la waziri mmoja wa UK, aliye tuhumiwa na Uhusiano wa kimapenzi na secretary wake ndio waziri mkuu akamlazimisha ajuuzulu.
Wakuu aneyeijua vizuri ishuu hiyo, atujuze kwa upana.
Wakuu aneyeijua vizuri ishuu hiyo, atujuze kwa upana.