njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,371
- 979
Nimesoma mahali kwamba kundi lile lile lililopigana wakati wa Richmond linapigana tena kupitia madawa ya kulevya.
Ila ninachoona awamu hii mmmh...sijui! Maana jamaa ni ngangari balaa hayumbishwi, mzee wa makavu live.
Clouds plus wengine vipi mtatafuta ndimu?