Jan. Feb. March 2017 Katikan Mitandao na Vyombo vya Habar Mheshimwa Paul Makonda

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Nimefanya utafiti kwenye mitandao na magazeti jina la mheshimiwa makonda limetajwa mara nyingi kushinda kiongozi ama mwanasiasa yeyote kwa muda wa miezi 3
Hongera mheshimiwa
 
Limetajwa lakn kwa ubaya zaidi, sidhani kama hiyo hongera inahitajika kwa mtu aliyefoji Cheti na mvamizi wa studio pia mla rushwa mkubwa
 
Back
Top Bottom