GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,333
Nlikuwa naangalia footage moja ikizungumzia waandishi wa habari walioenda TCR kuonana na Ndugu Nape Waziri kwa ajili ya lile sakata la watu kuvamia studio ya clouds wakiwa na silaha kali na kupora footage moja iliyokuwa inapaswa irushwe kwenye kipindi lakini haikurushwa kutokana na sababu za kimaantiki.
nikawa naangalia hii video nikiwa namsikiliza ndugu mmoja akielezea kuwa hakutakuwa na mkutano huo n.k wakati huo mwandishi aliyekuwa akichukua video akawa anawaonesha waandishi walioko mle ndani na mara nikaona kituko hiki. yaani haka sijui kamwandishi kawapi kanaona camera inakuja kwake kanaweaka pose za midomo na vidole namna hii kama kabisa layman au tuvijana twa mitaani.
nikasikitika sana na huyu naye ni mwandishi? mwandishi wa namna gani ana behave hivi? hivi hawa waandishi huwa wanapimwa kiwango chao cha maturity? enzi zile sisi waandishi walikuwa ni watu wazima wenye kujielewa hata ukikaa ukasikiliza wanauliza maswali utaona kabisa wana akili na wanasoma au wana uelewa wa mambo flan. lakini si kwa miaka hii. imekuwa ni aibu kubwa sana. huyu mwandishi anayeweka pose kama hizi aonapo video uwezo wake wa kiakili utakuaje? hawa si ndo huwa wananunulika na watu kwa ajili ya kuwaandika na kuwakuza kwenye vyombo vya habari?
wenye vyombo vya habari hili ni jambo la aibu. wafunzeni vijana wenu namna ya kubehave waonapo camera.