Daraja la Coco beach - Agha Khan serikali ingeachana nao kabisa

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
17,669
18,995
Mrng..
Hili daraja sioni faida yake, as long serikali inahamia Dodoma, traffic jam itapungua sana... Badala yake kusave pesa wapanue Salender Bridge tu... Seriously, mm mwana mpendwa wa CCM, ila hili daraja sioni umuhimu wake... Only solution ni kupanua Salendar Bridge tu pale..

Calculations zangu hazionyeshi faida, labda kwa show off tu kuvutia jiji.. Faida sioni plse..

Twendeni Dodoma..
 
Tatizo wa Tz mnatizama karibu hamtizami mbali miaka ijayo

Kwa maono na mawazo yako ndio yaliyosababisha mipango miji wasababishe jiji liwe na foleni na hovyo na mafuriko

Sababu walifanya calculation ya karibu na siyo ya future

Unajua Hali itakavyokuwa 30 years to come

Unapofanya maamuzi ya mipango miji plan 50 yrs mbele na siyo 2,3 yrs mbele

Wakishapanua je 20 years mbele waanze innovation tena ya madaraja na utanuzi wa barabara

Mataifa makubwa yameendelea sababu plan yao ni 100yrs na sio 5 yrs
 
Kwa maono na mawazo yako ndio yaliyosababisha mipango miji wasabahishe jiji liwe na foleni na hovyo na mafuriko

Sababu walifanya calculation ya karibu na siyo ya future

Unajua Hali itakavyokuwa 30 years to come

Unapofanya maamuzi ya mipango miji plan 50 yrs mbele na siyo 2,3 yrs mbele
Hua wanafanya calculation ya miaka mi5 maana akili zao zimekaa only for 5 years hawawazi kuna maisha baada yao
 
Mi nakubaliana na wewe... pesa kama hiyo ingetumika kujenga daraja la kigongo - busisi tungepata manufaa zaidi kuliko hili la coco beach kwa sasa.... la kigongo linaifungua mwanza au kanda ya ziwa kwenda Kigoma, geita, bukoba, Rwanda nk.....
 
Hapa nimetambua kuwa una tabia ya kuchangia bila kusoma,mwandishi ni mwana CCM sasa wapi amebadili gia angani?
Tatzo lenu huwa HAMJUI NI KIPI HASA MNAKIITAJI kama WATANZANIA.....nyie kila kukicha ni kubadili GIA angani
 
Mi nakubaliana na wewe... pesa kama hiyo ingetumika kujenga daraja la kigongo - busisi tungepata manufaa zaidi kuliko hili la coco beach kwa sasa.... la kigongo linaifungua mwanza au kanda ya ziwa kwenda Kigoma, geita, bukoba, Rwanda nk.....
Hilo linakuja ndugu wala usitie shaka, ila sisi watanzania tukijua nin tunachokitaka tutapiga hatua kubwa sana kimaendeleo
 
Mrng..
Hili daraja sioni faida yake, as long serikali inahamia Dodoma, traffic jam itapungua sana... Badala yake kusave pesa wapanue Salender Bridge tu... Seriously, mm mwana mpendwa wa CCM, ila hili daraja sioni umuhimu wake... Only solution ni kupanua Salendar Bridge tu pale..

Calculations zangu hazionyeshi faida, labda kwa show off tu kuvutia jiji.. Faida sioni plse..

Twendeni Dodoma..
Tourist attraction plus kuipendezesha Tz (Dar). Hapo panaeleweka!
 
Hilo linakuja ndugu wala usitie shaka, ila sisi watanzania tukijua nin tunachokitaka tutapiga hatua kubwa sana kimaendeleo
Mkuu kama ni kufuata priority .....hii Ferry ya Busisi inatesa sana..... na hili daraja ni mihimu sana kiuchumi......kuna Geita na kahama gold mines na mikoa na nchi kibao zinafunguka, bado naona coco isubiri....
 
Kweli kabisa mkuu, ni afadhali kujikita kwenye barabara za juu kuliko hilo daraja ukizingatia serekali inahamia dodoma.
 
watanzania wengi hatujui tunataka nini..ndio maana ata ukienda kwenye shule zetu,mwanafunzi wa form six ata na chuo unamuuliza unasoma ili baadae uwe nani? anashindwa kukujibu. watanzania inatakiwa tujitambue.
 
Tatizo wa Tz mnatizama karibu hamtizami mbali miaka ijayo

Kwa maono na mawazo yako ndio yaliyosababisha mipango miji wasababishe jiji liwe na foleni na hovyo na mafuriko

Sababu walifanya calculation ya karibu na siyo ya future

Unajua Hali itakavyokuwa 30 years to come

Unapofanya maamuzi ya mipango miji plan 50 yrs mbele na siyo 2,3 yrs mbele

Wakishapanua je 20 years mbele waanze innovation tena ya madaraja na utanuzi wa barabara

Mataifa makubwa yameendelea sababu plan yao ni 100yrs na sio 5 yrs
Mawazo ya mtoa mada usiyabeze, ametoa sababu kuwa tuna commitment nyingi kwa sasa, usidhubutu kujilinganisha na mataifa makubwa
 
Walau wew
Mi nakubaliana na wewe... pesa kama hiyo ingetumika kujenga daraja la kigongo - busisi tungepata manufaa zaidi kuliko hili la coco beach kwa sasa.... la kigongo linaifungua mwanza au kanda ya ziwa kwenda Kigoma, geita, bukoba, Rwanda nk.....[/QUOTE
Angalau mkuu umeelekeza pesa iende wapi wewe ulipodhani kuna umuhimu zaidi kuliko watu wanaopinga tu kila zuri utawala unalojaribu kulifanya bila kuwa na hoja zenye mashiko watu wa kupinga pinga tu.
 
Mawazo ya mtoa mada usiyabeze, ametoa sababu kuwa tuna commitment nyingi kwa sasa, usidhubutu kujilinganisha na mataifa makubwa
Kwahiyo kwasababu serikali inahamia Dodoma foleni ndio Zitapungua?

Dar ni jiji kubwa na kadri siku zinavyozidi kwenda mbele linazidi kukua.

Suala la miundo mbinu halina taifa kubwa wala dogo ,foleni ya dar ya Leo ni plan mbovu ya mipango miji waliyofanya zamani

Daraja lijengwe barabara pekee haitoshi na ukizangatia kila siku magari huingizwa nchini,

Plan yetu sini kufika huko walipofika ama ,tatizo la kudhibiti foleni kwa miaka ijayo ni kutengeneza hilo daraja ...
 
Back
Top Bottom