Bakwata Arusha yamwandalia mapokezi mazito Waziri Mwigulu Nchemba

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
752
1,810
Baraza la bakwata wilaya ya Arumeri,bakwata limemwandalia mapokezi makubwa waziri Nchemba katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika shule ya awali ya bakwata wilayani humo.

Mwenyekiti wa bakwata ,Haruna Hussen alisema kuwa wageni mbalimbali wakiwemo maaskofu na taasisi mbalimbali wamealikwa .

a8fb3544192c8f1b329a82e7c17799d4.jpg


87ddca406670e2a8e2fc9960a2f3fe8e.jpg
 
Bashite ndo nani katika nchi yeye anajulikana dar pekee na si nchi nzima halafu pia kwenda kuweka jiwe la msingi hakumaanishi anakwenda kusilimishwa mkuu
 
Back
Top Bottom