Mukulu anapenda Shilawadu ila hapendi mitandao

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Hivi mukulu unaweza muelewa kweli 90% ya contents za shilawadu zinatoka mitandaoni
na yeye amesema kua ni shabiki shilawadu

nimeshindwa kumuelewa akiwa anaangalia shilawadu vijana wale habari za kina silole kula mate ma nuhumziwanda na ile ya yule dada kupiga tatoo kwenye Tako ndio anazozipenda sana


Nashangaaa leo hii anakuja kusema kua hapendi habari za mitandaoni sijui shilawadu ameipendea nini

Au ndio ile Maandalizi ya hii issue ya Bashite na Gwajima iliyo buma

Mukulu Bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom