Hofu ya kutokuwa na mungu chanzo cha mafisadi-nape nnauye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu ya kutokuwa na mungu chanzo cha mafisadi-nape nnauye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 15, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm mh nape nnauye amesema hofu ya kutokuwa na MUNGU ndio chanzo halisi cha mafisadi...akiongea katika uzinduzi wa albamu ya mwanamuziki wa nyimbo za injili UPENDO NKONE alisema watu wengi wamekosa hofu ya MUNGU na kujikuta wakifanya mambo kama mnyama kabisa...baadae wanashtuka kumbe wamefanya dhambi kubwa sana....unafikiri hawa mafisadi awaji kanisani wapo wengi tu lakini ile hofu ya MUNGU ndio inayokuelekeza unatakiwa kuacha ubaya unaoufanya....Mungu yeye ndie anetuongoza kufika hapa tulipo na ushauri wangu tusimwache MUNGU tumtangulize katika kila jambo.....
  Good Nnape lets pray kwa CCM wamrudie MUNGU Hope maombi yako yatasikiwa ipo siku...hizi maliza mafisadi trunaziitaji na tunaamini ipo siku kila mtanzania atanufaika na huu ufisadi uliofanywa..ukianzia na SAMAKI WA MAGUFULI
  Mungu Akubariki
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu bwana mdogo bwana ana hoja za ki primary school sana.anyway hii ndio breed ya viongozi watarajiwa toka CCM..Namuona tu yuko busy kuzindua VICOBA na wapiganaji
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  ni ukweli kwamba swala la kuwa na viongozi wasio kuwa na imani kwa mungu ndio inasababisha mafisadi.hawa mafisadi kama wangekuwa kweli wana amini mungu basi wangekuwa na huruma kidogo katika kuangamiza nchi yetu.
   
 4. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusimlaumu Mungu kwa wizi wa wanadamu. Chanzo cha ufisadi ni uongozi mbovu wa CCM unaoshindwa kusimamia utawala wa sheria na kuhakikisha maadili katika taifa. Hawa mafisadi ndio wako viti vya mbele kwenye makanisa! Kinachotakiwa ni kuchagua uongozi wenye kuweza kuwachukulia hatua mafisadi na pia wenye kufanya mabadiliko kudhibiti mianya ya ufisadi. Hata tunasali makanisani kila siku chini ya katiba mbovu na viongozi waoga wa kuchukua hatua na Chama Cha Mafisadi, tutakuwa tunazunguka pale pale!

  serayamajimbo
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  mafisadi ndio wako viti vya mbele kwenye makanisa!

  TATIZO MKUU LINAANZIA MAKANISANI PIA NIMEONA MAKANISA MENGI SANA MAFISADI WANAKAA MBELE NA WALE NDIO WAZEE WA MAKANISA..UKIANZA KUULIZIA PESA WANAPOZIPATA ...MMMMHHH....SO NAFIKIRI INABIDI MABADILIKO YAANZIE MAKANIISANI KWANZA...UKIFIKA AZANIA SIJUI KAMA BADO MZEE WA KANISA...EDWARD LOWASSA ALIKUWA NA KITI CHAKE PEKEE NA FAMILIA YAKE NA SIKU HAYUPO HATA MWANE AKALII ...SASA HAYA MAMBO HATARI...KUNA MAWAZIRI WENGINE MAFISADI WAMEGAIWA UZEE WA KANISA ....TUNAITAJI MABADILIKO KUTOKA NDANI
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Hapo atumlaumu mungu tunalilaumu hili lusifa linalowapa watu roho za uuwaji na baadae kuwatoka .....ndio maana mada inasema kama wakipata hpfu ya mungu awawezi fanya uchafu huu....,ukimjua mungu uwezifanya dhambi....anasema katika biblia nikikuweka huru utakuwa huru kweli kweli upo???
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Pdidy,
  Mbona hujaweka chanzo cha habari Mkuu, au ulikuwapo kwenye hafla hiyo?
   
 8. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  sijamlaumu MUNGU na sito wahi kumlaumu MUNGU kwa chochote kile.nilicholaumu ni viongozi wetu tuliokuwa nao hawana imani kwa mungu ndio inasababisha maovu yao wanayotufanyia.

  yaliobaki ulioandika na kuunga mkono.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  samahani mkuu ni taarifa ya habari saa mbili itv.leo kama upo bongo subirini saa tano kamili
   
 10. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mnachokosea Mungu is everything kuanzia kuwarekebisha hao waliopotea
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,216
  Trophy Points: 280
  Ufisadi umekuwepo since time imemorial.
  Yesu alizaliwa Uyahudi, akalia Misri akurudi Uyahudi walikomsulubisha sasa hili kanisa Katoliki limeibukia Roma?. St. Peter Basilica is built on loot from Constantinopole.
  Madom wa Mafia ndio wafadhili wakuu wa Vatican.

  RA ni mmoja wa wafadhili wazuri tuu wa KKKT. Manji mfadhili mzuri wa Bakwata. Pesa za Al Qeada zimejenga misikiti lukuki.

  Fedha ni fedha tuu zinakuwa chafu only from the source, zikishafika kwa recipient they are cleam mpaka kupata sifa ya kugeuka sadaka.

  Nape anafahamu vizuri ni Tanil ndiye aliyetoa millioni 400 kufadhili uchaguzi wa UV-CCM. Pia anafahamu ni RA na fedha ya Kagoda ndio iliyomuingiza JK pale Magogoni.

  One good thing kuhusu huyu kijana Nape, is, he is one of the few upcoming good ones kwenye CCM ambao bado wana morals za Kikambarage Nyerere na asipoharibiwa na fedha za mafisadi, has very bright future in this nation. Namkubali.
  Paskali
   
 12. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #12
  Nov 15, 2009
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio tatizo la CCM, ni chama cha mafisadi wanaolindana. Anajua UVCCM imepewa fedha za mafisadi, hawajawahi kupinga. Alisimama kupinga suala la ujenzi wa jengo la UVCCM kwa kuwa mkakati mzima ulikuwa ni kumlenga Lowassa. Baada ya hapo, hakuna kinachoendelea. Kimsingi, Nape anatakiwa kuwa ajenda zake na kusimama kama mtu huru badala ya kuwa kikaragosi cha Mzee Mengi

  serayamajimbo
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280


  Ooooh yes na uzuri anaonyesha hata kama kanisani haendi ana hofu ya Mungu na hata akatokea kuwa fisadi atatujeruhi pole pole sio kama hawa wanapiga billion 220 kama yamejaa maplastiki tanzania na sio watu....huyu raisi wao ana mengi ya kujibu siku ya mwisho
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280

  tatizo moja mkuu najua unalijua ukiwa kwenye system lazima ufwate system mkuu...soma red hapo juu ukienda kinyume uliza familia za kolimba.horace alipo??sokoine alipo??unafikiri hata sitta kwenda mbele kurudi nyuma anapenda anafikiria mara mbili mbili familia atakayoiacha....uliza generali kombe yuko wapi??
   
 15. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hawa ndio vijana wanaotegemewa na taifa la kesho, kazi ipo kweli kweli. Vijana msipokuwa tayari kuikoa nchi hii, huko inakoenda itakuwa balaa tupu.

  Maovu karibu yote makubwa duniani yamefanywa na watu wanao muamini mungu, imekuwaje Nape halijui hili?

  Ifike mahali tutangulize uchumi mbele badala ya politics kila mahali.
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,216
  Trophy Points: 280
  Ala kumbe kijana yuko timu ya Mzee, no wonder ample airtime on ITV.
   
 17. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Swala n imazingira aliyokuwa anatolea hiyo spichi, angekuuwa kwenye mdahalo wa wasomi asingesema mambo ya ,MUNGU, lakin amini nakwambia hata shetani akiwa mazingira ya kanisani anaongeaongea MUNGU! MUNGU! chanzo cha ufisadi hakihusiani kabisa na mambo ya MUNGU! ni ndoto zilizo kwa watanzania wengi kuishi maisha ya NJOZI! inapotokea amepata chansi yoyote ya kuzikamata hata kama si halali anaona nafasi ya KUTOKA! na mbaya kuliko, binadamu wengi hawaridhiki! na njozi haziishi hata kama una pesa ngapi! kosa n kuanzia mifumo yetu ya elimu, hattufundishWi uzalendo mashuleni, mtoto wa grade one ukimuuliza unataka kuwa NANI atakujibu ''nataka kufanya kazi TRA, au BANK, au nakata kuwa WAZIRI au MBUNGE'' Hajui karia ni nini, anachojua ni kufanya kazi TRA! ukimuuliza kazi gani TRA unamchanganya kabisa.
  Hizo roho watu tunakuwa nazo, na tunarithisha watoto wetu, amini nakwambia ipo siku watu wataamka, na Ufisadi utakoma kwa DAMU ZA WATU.
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Kwenda kanisani/msikitini si kipimo cha kuwa na hofu ya Mungu. Tuliowengi tunapenda kujisafisha kwa nje watu watuone bt deep inside ni bora choo cha stendi. Huo ndo unafki. unawapotezea watu ili wakuone wewe ni mwanakondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu(JIBWA HASA)

  Watu tumekosa heshima hata kumdhihaki Muumba wetu.....

  Ni ukweli usiopingika that its about time we need leaders who have "FEAR OF GOD". Huwezi kuwa mtenda haki kama umeingia huko kwenye madaraka kwa magumashi.
   
 19. bht

  bht JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Pdidy does it has to be that way? hao waliowateketeza kolimba, sokoine na wengine, naamini hawakuwa na hofu ya Mungu! We dont WANT such busterds for God's sake!! Enough sasa jamani.
  Hizi system mbovu kweli hatuwezi japo kuzibadili japo iwe kinyume? That wakina Kolimba wawepo wengi zaidi ya hao the opposite side?

  Ahhhhhh nikifikiri sana nachoka mie jamani!!
   
 20. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huyu anachanganya madawa, inaonekana hata concept ya separation ya politics na dini haielewi.

  Sasa na sie tusioamini katika mungu tukisema ame tu offend atasemaje?

  Maana anataka ku insult our intelligence.Kuna wengine tunaweza kusema "Hofu ya kumuogopa mungu ndiyo chanzo cha ufisadi" na kutoa sababu nzuri tu.

  Watu wanafisadiwa lakini wanakaa kimya tu, wakiamini kwamba mungu atalipiza siku ya hukumu, wakati hamna mungu wala siku ya hukumu, mbingu wala moto.Mbingu na moto tunaziona hapa hapa duniani. Wakati mafisadi wanaishi kwenye makasri yao yaliyo kama mbingu, complete with presidential protection, wengine wa Manzese kwa mfuga mbwa na Malampaka hata hatuwezi kupata mlo wa siku, sembuse kupeleka watoto shule.

  And then unaongea mambo yaleyale waliyotumia wakoloni kutudumaza, mungu, mungu.

  Stop the preaching already and do something.

  Bob Marley, that champion of the hoi polloi, in one of his more sensible songs (Get Up, Stand Up) pointed this out very clearly

  Sheeeeeeeeeesh!
   
Loading...