Urafiki wa mashaka wa vituo vya redio

Rafa kilenza

Member
Jan 23, 2017
32
30
Kwa Mujibu wa waziri Mwakyembe
Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
Kuna kijana anaitwa NJINGU huyu alikuwa pale Airport Dar kitengo cha usalama ndiye aliyemsaidia Mwakyembe kukamata madawa ya kulevya pale uwanjani

Huyu kijana baada ya kujulikana kuwa yeye ndio mfanya mipango ya kukamata madawa, wauza madawa na mitandao yao wakamtega NJINGU na akategeka. Leo hii yupo gerezani hata Mwakyembe alishindwa kumtoa huyu kijana kwa sababu kila alichokuwa anafanya kinashindikana kutokana na nguvu kubwa ya pesa na mtandao mkubwa wa wauza madawa

Huwezi kupingana na hii vita iwe hadharani au kimya kimya alafu ukapona hilo haliwezekani. Yupo wapi Amina chifupa? Baada ya kusema tu kuwa atawataja hadharani wauza ngada kila mtu alijua kilichomtokea Amina

Leo hii lazima watanzania wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tujiulize sana kuhusu mambo yanayotokea baada ya makonda kuthubutu kupambana na hii biashara haramu duniani
Tumeona ushirikiano mkubwa sana kati ya vituo vya habari vyenye upinzani mkubwa sana hapa Tanzania ambapo siku za nyuma walikuwa wanatupiana maneno ya vijembe kupitia watangazaji wao

Efm wameitupia sana vijembe clouds pamoja na kuwachukua watangazi wake kwa kigezo cha kusema kule kuna unyonyaji
Clouds imetupiwa sana lawama kuwa inawanyonya wasanii kwenye show na sababu kubwa ya wasanii kutumia madawa ni unyonyaji unaofanywa wa kazi zao na clouds, Haya maneno yapo mitaani siku nyingi tu yanasemwa

Kwa mara ya kwanza namuona mzee Mengi anakwenda clouds media, Hakuna asiyejua kuwa vituo vya mzee huyu vina ugomvi mkubwa sana hasa katika malipo ya wasanii sasa leo hii tunajiuliza urafiki huu umetoka wapi?. Hivi kosa ni Rc kwenda na walinzi wake kuchukua flash yake? Hakuna asiyejua kuwa Makonda ameongezewa ulinzi mkubwa sana baada ya hii vita yake sasa mtu kwenda na walinzi wake ni kosa?
Urafiki wa clouds na efm umeanza lini? Kwanini efm wanamshambulia sana makonda? Na kwanini wamshambulie baada ya boss wao kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya.? Mara ngapi Mange kimambi anamtaja wazi wazi Majizo mmiliki wa efm kuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa madawa? Mbona efm hawajawahi kumsema mange kama wanavyomsema Rc.? Au kwa kuwa mange kimambi mpo nae timu moja kwa sasa? Nadhani sasa ule msemo umekamilika sasa kwa ushirikiano unaofanyika sasa, ENEMY OF YOUR ENEMY IS YOUR FRIEND

Hii vita ni kubwa sana na kamwe mkuu wa nchi hawezi kuingia kwenye huo mtego wenu maana haiwezekani wapinzani wako wakupangie majukumu tena ya uteuzi, Kawaida kizuri chochote huwa kinapigwa vita tumeona vingi sana uko nyuma vikipigwa vita. Alichofanyiwa Prof Muhongo kwenye serikali iliyopita hakuna asiyekumbuka, Msimamo wake wa kitaalamu kuhusu vibali vya vitalu vya mafuta ulileta ugomvi mkubwa sana kati yake yeye na wawekezaji wazawa ambao hawakuwa na uwezo wa kumiliki vitalu vya mafuta. Uwekezaji katika mafuta unaitaji mtaji mkubwa sana na dunia nzima kuna makampuni saba tu yanayojihusisha na uchimbaji wa mafuta na hakuna hata moja kutoka Afrika
Kulitokea ugomvi mkubwa sana kati yake na wale wafanyabiashara na wote tunawajua na mmoja wao jana alienda clouds kuwapa pole

Wafanyabiashara hao wakahakikisha kuwa huyu Prof Muhongo habaki serikalini kwa kupitia wanasiasa wetu wanaojari matumbo yao binafsi kwenye saga la escrow walifanikiwa kumtoa huyu mzee na wakafanya sherehe kubwa sana
Nani asiyejua kuwa swala la escrow lilisukwa mahususi ili Prof atoke hapo?
Waulizeni watetezi wenu kati ya makampuni yote yanayozalisha umeme hapa Tanzania ni kampuni ipi ina capacity charges ndogo?Kwanini kampuni zenye capacity charges kubwa hawazisemi? Fedha walizokula za standard chartered na za wale wafanyabiashara zitawatesa sana

Urafiki wa Nape na vituo vya habari umeanza lini?. Huyu huyu Nape aliyezuia matangazo live ya bunge.? Huyu huyu Nape aliyetetea mswada wa habari?
Kwanini wamiliki wa vyombo vya habari hawakuungana kama sasa hivi siku Nape anazuia matangazo live ya bunge.?
Kwa nini hawakuungana kipindi Nape anapeleka muswada wa habari bungeni?
Kwanini hawakuungana kipindi sheria ya mitandao ya kijamii inapitishwa bungeni?

Wabunge wetu wa vyama vya upinzani wameungana kwa sababu ya kumtoa Makonda hapo Dar lakini hawa hawa wameshindwa kuungana kuhakikisha Ben saanane anapatikana na walishindwa kuungana kipindi cha ule msemo wa gori la mkono, ni lazima kwa pamoja tuwe na ukakasi katika akili zetu

Watanzania wanaungana kwenye mambo yasiokuwa na economic impact kabisa na wanaacha kuungana kwa mambo yenye tija kwa taifa
Vijana mmeshindwa kuungana kuhusu wanachuo kukosa mikopo, mnashindwa kuungana kwenye maswala ya ongezeko la makato mmekuja kuungana kwenye vita ya kumtoa Makonda dar inayoratibiwa na wauza madawa ya kulevya

Rafa lukindo
0765499321
 
Non....
 
Sijui kama ulitumia akili zako kuandika haya au labda ufahamu kinacho endelea. Mengi ni mwenye kiti wa nini kwenye vyombo vya habari? ......naswala ya wafanya kazi wa kituo hiki kwenda kule nayo ni hoja kweli kwako? ......unamtetea huyo kaka mpaka muda huuu....yawezekana wewe ni mgeni mji huu au wewe ndo bashite mwenyewe. Ngoja nikatafute ndimu....ushanichefua
 
Samahani kiongozi, we ndio mchambuzi tegemeo wa chama kwa maswala ya kitaifa?
 
Kwenye shida maadui wanaungana wewe hiv haumuoni mbowe akienda kwenye misiba ya ccm

Ndio maana ruge ametoa mfano kwamba simba na yanga ni maahasimu ila wakiingiliwa kwenye maslahi yao wanaunganaaa pamoja ,alimaananisha katika hili lazma vituo vyote viungane

Hawa viongoz wa tv hz wanaongea kila siku ila nyuma ya pazia sisi twaona wanaugomvi
 
Rudi shule.

Tatizo hawa jamaa wanajitoa ufahamu

Halafu unajiita GT Paambafuuuuu....Umbwaaa weeeeeee
 
Sijui kama ulitumia akili zako kuandika haya au labda ufahamu kinacho endelea. Mengi ni mwenye kiti wa nini kwenye vyombo vya habari? ......naswala ya wafanya kazi wa kituo hiki kwenda kule nayo ni hoja kweli kwako? ......unamtetea huyo kaka mpaka muda huuu....yawezekana wewe ni mgeni mji huu au wewe ndo bashite mwenyewe. Ngoja nikatafute ndimu....ushanichefua
kilichokuchefua ni mimba changa uliyonayo sio alichopost rafa.Hoja nzito haiwezi kujibiwa na hoja nyepesi ata siku moja,chukua muda wako nyuma ya keyboard andika vizuri.
 
Umamaliza yote.
Kwa kuongezea:-
Jiulizeni kwanini Ruge ilibidi amwambie hata HR azuie kipindi kisurushwe, na hasa baada ya Gwajima kumpigia simu?
Je Gwajima alimtishia nini ruge na clouds?
 
Kwa Mujibu wa waziri Mwakyembe
Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
Kuna kijana anaitwa NJINGU huyu alikuwa pale Airport Dar kitengo cha usalama ndiye aliyemsaidia Mwakyembe kukamata madawa ya kulevya pale uwanjani

Huyu kijana baada ya kujulikana kuwa yeye ndio mfanya mipango ya kukamata madawa, wauza madawa na mitandao yao wakamtega NJINGU na akategeka. Leo hii yupo gerezani hata Mwakyembe alishindwa kumtoa huyu kijana kwa sababu kila alichokuwa anafanya kinashindikana kutokana na nguvu kubwa ya pesa na mtandao mkubwa wa wauza madawa

Huwezi kupingana na hii vita iwe hadharani au kimya kimya alafu ukapona hilo haliwezekani. Yupo wapi Amina chifupa? Baada ya kusema tu kuwa atawataja hadharani wauza ngada kila mtu alijua kilichomtokea Amina

Leo hii lazima watanzania wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tujiulize sana kuhusu mambo yanayotokea baada ya makonda kuthubutu kupambana na hii biashara haramu duniani
Tumeona ushirikiano mkubwa sana kati ya vituo vya habari vyenye upinzani mkubwa sana hapa Tanzania ambapo siku za nyuma walikuwa wanatupiana maneno ya vijembe kupitia watangazaji wao

Efm wameitupia sana vijembe clouds pamoja na kuwachukua watangazi wake kwa kigezo cha kusema kule kuna unyonyaji
Clouds imetupiwa sana lawama kuwa inawanyonya wasanii kwenye show na sababu kubwa ya wasanii kutumia madawa ni unyonyaji unaofanywa wa kazi zao na clouds, Haya maneno yapo mitaani siku nyingi tu yanasemwa

Kwa mara ya kwanza namuona mzee Mengi anakwenda clouds media, Hakuna asiyejua kuwa vituo vya mzee huyu vina ugomvi mkubwa sana hasa katika malipo ya wasanii sasa leo hii tunajiuliza urafiki huu umetoka wapi?. Hivi kosa ni Rc kwenda na walinzi wake kuchukua flash yake? Hakuna asiyejua kuwa Makonda ameongezewa ulinzi mkubwa sana baada ya hii vita yake sasa mtu kwenda na walinzi wake ni kosa?
Urafiki wa clouds na efm umeanza lini? Kwanini efm wanamshambulia sana makonda? Na kwanini wamshambulie baada ya boss wao kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya.? Mara ngapi Mange kimambi anamtaja wazi wazi Majizo mmiliki wa efm kuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa madawa? Mbona efm hawajawahi kumsema mange kama wanavyomsema Rc.? Au kwa kuwa mange kimambi mpo nae timu moja kwa sasa? Nadhani sasa ule msemo umekamilika sasa kwa ushirikiano unaofanyika sasa, ENEMY OF YOUR ENEMY IS YOUR FRIEND

Hii vita ni kubwa sana na kamwe mkuu wa nchi hawezi kuingia kwenye huo mtego wenu maana haiwezekani wapinzani wako wakupangie majukumu tena ya uteuzi, Kawaida kizuri chochote huwa kinapigwa vita tumeona vingi sana uko nyuma vikipigwa vita. Alichofanyiwa Prof Muhongo kwenye serikali iliyopita hakuna asiyekumbuka, Msimamo wake wa kitaalamu kuhusu vibali vya vitalu vya mafuta ulileta ugomvi mkubwa sana kati yake yeye na wawekezaji wazawa ambao hawakuwa na uwezo wa kumiliki vitalu vya mafuta. Uwekezaji katika mafuta unaitaji mtaji mkubwa sana na dunia nzima kuna makampuni saba tu yanayojihusisha na uchimbaji wa mafuta na hakuna hata moja kutoka Afrika
Kulitokea ugomvi mkubwa sana kati yake na wale wafanyabiashara na wote tunawajua na mmoja wao jana alienda clouds kuwapa pole

Wafanyabiashara hao wakahakikisha kuwa huyu Prof Muhongo habaki serikalini kwa kupitia wanasiasa wetu wanaojari matumbo yao binafsi kwenye saga la escrow walifanikiwa kumtoa huyu mzee na wakafanya sherehe kubwa sana
Nani asiyejua kuwa swala la escrow lilisukwa mahususi ili Prof atoke hapo?
Waulizeni watetezi wenu kati ya makampuni yote yanayozalisha umeme hapa Tanzania ni kampuni ipi ina capacity charges ndogo?Kwanini kampuni zenye capacity charges kubwa hawazisemi? Fedha walizokula za standard chartered na za wale wafanyabiashara zitawatesa sana

Urafiki wa Nape na vituo vya habari umeanza lini?. Huyu huyu Nape aliyezuia matangazo live ya bunge.? Huyu huyu Nape aliyetetea mswada wa habari?
Kwanini wamiliki wa vyombo vya habari hawakuungana kama sasa hivi siku Nape anazuia matangazo live ya bunge.?
Kwa nini hawakuungana kipindi Nape anapeleka muswada wa habari bungeni?
Kwanini hawakuungana kipindi sheria ya mitandao ya kijamii inapitishwa bungeni?

Wabunge wetu wa vyama vya upinzani wameungana kwa sababu ya kumtoa Makonda hapo Dar lakini hawa hawa wameshindwa kuungana kuhakikisha Ben saanane anapatikana na walishindwa kuungana kipindi cha ule msemo wa gori la mkono, ni lazima kwa pamoja tuwe na ukakasi katika akili zetu

Watanzania wanaungana kwenye mambo yasiokuwa na economic impact kabisa na wanaacha kuungana kwa mambo yenye tija kwa taifa
Vijana mmeshindwa kuungana kuhusu wanachuo kukosa mikopo, mnashindwa kuungana kwenye maswala ya ongezeko la makato mmekuja kuungana kwenye vita ya kumtoa Makonda dar inayoratibiwa na wauza madawa ya kulevya

Rafa lukindo
0765499321
Rafa
Ulichokiongea ni sahihi kabisa. Kosa linalojitokeza ni pale hoja zinashindikana kujibiwa:
- Kuna tuhuma za magari zinazo mhusu RC Makonda zikimhusisha na baadhi ya wauza madawa. Kwa nini hazijibiwi? huo ukimya ndo unaozalisha yote haya.
- Kuna tuhuma ya vyeti vyake, watu wanatoa uthibitisho walio nao kwa nini alijibu tuhuma hizo? Hii ombwe ambayo si ya lazima ndo ina zaa yote haya.
Mawazo yangu ni kwamba, hawa viongozi wetu tuwape ushauri mzuri ili wawe na maamuzi mazuri tuache tabia ya kujipendekeza kwa mtu," kumsoma usoni nini anachotaka kusikia". Tukisoma na kumwambia mtu anachotaka kusikia badala ya kumpa uhalisia hatumsaidii, tunampotosha na lazima hata maamuzi yake yatakuwa na dosari.
- Watanzania tutenganishe siasa na utendaji!!!. Waacheni wanasiasa na siasa zao, watendaji wetu nao tuwaache watumie weledi wao bila kuingiliwa.
 
Kwa Mujibu wa waziri Mwakyembe
Vita ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
Kuna kijana anaitwa NJINGU huyu alikuwa pale Airport Dar kitengo cha usalama ndiye aliyemsaidia Mwakyembe kukamata madawa ya kulevya pale uwanjani

Huyu kijana baada ya kujulikana kuwa yeye ndio mfanya mipango ya kukamata madawa, wauza madawa na mitandao yao wakamtega NJINGU na akategeka. Leo hii yupo gerezani hata Mwakyembe alishindwa kumtoa huyu kijana kwa sababu kila alichokuwa anafanya kinashindikana kutokana na nguvu kubwa ya pesa na mtandao mkubwa wa wauza madawa

Huwezi kupingana na hii vita iwe hadharani au kimya kimya alafu ukapona hilo haliwezekani. Yupo wapi Amina chifupa? Baada ya kusema tu kuwa atawataja hadharani wauza ngada kila mtu alijua kilichomtokea Amina

Leo hii lazima watanzania wenye mapenzi ya dhati na nchi yetu tujiulize sana kuhusu mambo yanayotokea baada ya makonda kuthubutu kupambana na hii biashara haramu duniani
Tumeona ushirikiano mkubwa sana kati ya vituo vya habari vyenye upinzani mkubwa sana hapa Tanzania ambapo siku za nyuma walikuwa wanatupiana maneno ya vijembe kupitia watangazaji wao

Efm wameitupia sana vijembe clouds pamoja na kuwachukua watangazi wake kwa kigezo cha kusema kule kuna unyonyaji
Clouds imetupiwa sana lawama kuwa inawanyonya wasanii kwenye show na sababu kubwa ya wasanii kutumia madawa ni unyonyaji unaofanywa wa kazi zao na clouds, Haya maneno yapo mitaani siku nyingi tu yanasemwa

Kwa mara ya kwanza namuona mzee Mengi anakwenda clouds media, Hakuna asiyejua kuwa vituo vya mzee huyu vina ugomvi mkubwa sana hasa katika malipo ya wasanii sasa leo hii tunajiuliza urafiki huu umetoka wapi?. Hivi kosa ni Rc kwenda na walinzi wake kuchukua flash yake? Hakuna asiyejua kuwa Makonda ameongezewa ulinzi mkubwa sana baada ya hii vita yake sasa mtu kwenda na walinzi wake ni kosa?
Urafiki wa clouds na efm umeanza lini? Kwanini efm wanamshambulia sana makonda? Na kwanini wamshambulie baada ya boss wao kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya.? Mara ngapi Mange kimambi anamtaja wazi wazi Majizo mmiliki wa efm kuwa ni mfanyabiashara mkubwa wa madawa? Mbona efm hawajawahi kumsema mange kama wanavyomsema Rc.? Au kwa kuwa mange kimambi mpo nae timu moja kwa sasa? Nadhani sasa ule msemo umekamilika sasa kwa ushirikiano unaofanyika sasa, ENEMY OF YOUR ENEMY IS YOUR FRIEND

Hii vita ni kubwa sana na kamwe mkuu wa nchi hawezi kuingia kwenye huo mtego wenu maana haiwezekani wapinzani wako wakupangie majukumu tena ya uteuzi, Kawaida kizuri chochote huwa kinapigwa vita tumeona vingi sana uko nyuma vikipigwa vita. Alichofanyiwa Prof Muhongo kwenye serikali iliyopita hakuna asiyekumbuka, Msimamo wake wa kitaalamu kuhusu vibali vya vitalu vya mafuta ulileta ugomvi mkubwa sana kati yake yeye na wawekezaji wazawa ambao hawakuwa na uwezo wa kumiliki vitalu vya mafuta. Uwekezaji katika mafuta unaitaji mtaji mkubwa sana na dunia nzima kuna makampuni saba tu yanayojihusisha na uchimbaji wa mafuta na hakuna hata moja kutoka Afrika
Kulitokea ugomvi mkubwa sana kati yake na wale wafanyabiashara na wote tunawajua na mmoja wao jana alienda clouds kuwapa pole

Wafanyabiashara hao wakahakikisha kuwa huyu Prof Muhongo habaki serikalini kwa kupitia wanasiasa wetu wanaojari matumbo yao binafsi kwenye saga la escrow walifanikiwa kumtoa huyu mzee na wakafanya sherehe kubwa sana
Nani asiyejua kuwa swala la escrow lilisukwa mahususi ili Prof atoke hapo?
Waulizeni watetezi wenu kati ya makampuni yote yanayozalisha umeme hapa Tanzania ni kampuni ipi ina capacity charges ndogo?Kwanini kampuni zenye capacity charges kubwa hawazisemi? Fedha walizokula za standard chartered na za wale wafanyabiashara zitawatesa sana

Urafiki wa Nape na vituo vya habari umeanza lini?. Huyu huyu Nape aliyezuia matangazo live ya bunge.? Huyu huyu Nape aliyetetea mswada wa habari?
Kwanini wamiliki wa vyombo vya habari hawakuungana kama sasa hivi siku Nape anazuia matangazo live ya bunge.?
Kwa nini hawakuungana kipindi Nape anapeleka muswada wa habari bungeni?
Kwanini hawakuungana kipindi sheria ya mitandao ya kijamii inapitishwa bungeni?

Wabunge wetu wa vyama vya upinzani wameungana kwa sababu ya kumtoa Makonda hapo Dar lakini hawa hawa wameshindwa kuungana kuhakikisha Ben saanane anapatikana na walishindwa kuungana kipindi cha ule msemo wa gori la mkono, ni lazima kwa pamoja tuwe na ukakasi katika akili zetu

Watanzania wanaungana kwenye mambo yasiokuwa na economic impact kabisa na wanaacha kuungana kwa mambo yenye tija kwa taifa
Vijana mmeshindwa kuungana kuhusu wanachuo kukosa mikopo, mnashindwa kuungana kwenye maswala ya ongezeko la makato mmekuja kuungana kwenye vita ya kumtoa Makonda dar inayoratibiwa na wauza madawa ya kulevya

Rafa lukindo
0765499321
Kwa hiyo bashite ndo mkuu time ya kupambana na madawa ya kulevya?

Kwa maoni yako yaliyo huru hili suala la kughushi vyeti na kuvamia ofisi ya MTU kwa bunduki inaizungumziaje (bila kumrefer makonda)
 
Back
Top Bottom