mtarifu na mama yako kijijini pili sema wauza unga mmeungana sio watz kilaza mkubwaNi kwa mujibu wa instargram page yao
Ni leo SAA tatu,usikose
Umoja ni nguvu....watanzania wameungana,vyombo vingine pia viandae makala
Hakuna lisilowezekana,
Wamisri walivuka bahari kwa miguu enzi za farao.....
Mbona povu la makalioni linakutoka hivyo mkuu umefanywaje?mtarifu na mama yako kijijini pili sema wauza unga mmeungana sio watz kilaza mkubwa
Sasa Mama yaKe anahusikaje mkuu? Afu unga ni unga gani mkuu? Msitumie issue ya madawa ya kulevya kufanya najisi mkikemewa mnakimbilia ungamtarifu na mama yako kijijini pili sema wauza unga mmeungana sio watz kilaza mkubwa
Tumuulize bashiteMbona povu la makalioni linakutoka hivyo mkuu umefanywaje?
cc.
mkuu,huyo tayari yuko sober house sema leo hajapata methadone yuko arosto.Mkuu nenda soba house,naona umeharibikiwa
Malaika mkuu wa tz anasema watu wanashinda mitandaoni hawafanyi kazi...
Karibu sabuni saaaafiiiiii toka kolomije
It seems anakukamua wewe!!Makonda inabidi utafute msaada watu watibiwe, jana BP kupanda watu, lazima hawajajijua bado kwa ganzi walilojipa kuwa wameumia hadi ianze kuisha.
Sio mbaya mkirudia kuangalia, mkumbukie furaha yenu iliyoluja kuisha muda mchache baadae. Ha ha haaaaa
Hivi sura zenu mlijisikiaje?
Na Mh. Makonda alitoa bonge la hotuba fupi na iliyoenda shule, yaani nilitamani kuingia kwa TV nimpe busu. Labda siku moja nitamuona akija kutembelea mkoa ninaoishi.
Ha ha haaaaa
Makonda oyeeeeeee
Will tune inNi kwa mujibu wa instargram page yao
Ni leo SAA tatu,usikose
Umoja ni nguvu....watanzania wameungana,vyombo vingine pia viandae makala
Hakuna lisilowezekana,
Wamisri walivuka bahari kwa miguu enzi za farao.....