Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,138
Picha zinakuja sasa hivi ila Ajali imetokea Sasa Hivi maeneo ya Magomeni na Kuna foleni sana kwa watu wanaotoka mjini kwenda Manzese kipande hiki mpka maeneo ya Friends coner kwenye Hotel ya JUMBA LA DHAHABU
Magari ya mwendokasi yanalazimika kupita barabara ya kawaida maana njia yake imeziba kituo cha Kagera
Magari ya mwendokasi yanalazimika kupita barabara ya kawaida maana njia yake imeziba kituo cha Kagera