Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,666
Kutokana na ukweli kabisa kuwa Gwajima alitangaza hadharani kuwa ndugu Daud A. Bashite alinunua cheti cha mtu mwingine na kukitumia kujiendeleza kielimu na kubadilisha majina na kujulikana hivi leo kama Paul C. Makonda ambaye ni RC wa Dar es salaam ni kwanini asikamatwe endapo kama nakala alizozitoa ni za uongo?
Kumekuwa na watu wakisema kuwa ni uongo na kutoa sababu kibao kuwa huyu RC anasingiziwa!
Kama ni kweli anasingiziwa Gwajima akamatwe kwa kusambaza nakala za uongo maana ushahidi upo, kisha huyu RC naye apeleke ushahidi mahakamani au wale wanaosema kasingiziwa!
Nawasilisha...